GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,843
Aliyesema "Afrika ni moja hakukosea".nilishangaa siku moja kusikia mwanadiplomasia mmoja wa Malawi jina lake ni MWAKYEMBE. hao ukoo wa mwakyembe ni wanakyusa wa kyela na wapo pande zote mbili, tanzania na malawi.
,,CCM wakitoka madarakan aturudishe TZ.

haito kubalika, au kwenu Oman unataka kusogeza mpaka hadi bagamoyo, hii sio sawa bora urejee wewe kwa babu zako au asili yako