Waha /Abaha ni Wanyarwanda?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,710
Kama ulizani umesikia yote, si kweli

IMG_1251.jpg

Chanzo: Chronicles Rw

UCHAMBUZI
Taarifa au Tetesi si hii ina ikweli kiasi gani?
Tuanze hapa

Karne ya 18 Pwani ya tanganika ilitawaliwa na mportugue ambaye alitawala pwan yote na baadae muarabu wa oman akamfurusha na kuikalia pwani ya tanganyika! hata hivo ukomo wake haukuhusisha maeneo ya ndani ya Tanganyika

Ujerumani ndio mkoloni wa kwanza kukalia eneo hili na kuliita Koloni la ujerumani

IMG_1260.jpg

Katika utawala wa mjerumani Rwanda na burundi zilikua Eneo la Tanganyika lililoitwa British East Africa kama inavoonikana kwenye raman.

Baada ya Vita ya kwanza Ujerumani ilipokonywa maeneo yake hivo Uingereza ilichukua eneo ambalo ujerumani mwaka 1920 ililikalia lakini haikuhusisha Rwanda na Burundi.

Hivo hakuna mahala sehemu yeyote ya tanganyika ishawai kuwa sehemu ya rwanda au burundi ila RWANDA NA BURUNDI zilikua sehemu ya tanganyika wakati wa utawala wa ujerumani mwaka tajwa hapo juu.

WAHA ni kabila la kibantu linalopatikana Tanzania wanaongea lugha ya Kiha ambacho kina husiana au kukalibiana na kirundi.

Mji mashuhuli kwenye historia ya waha ni ujiji lakini pia Kasuru.

Kiufupi Waha wanapatikana Tanzania kiasili ingawa kilugha wanaweza kuwa wanaingiliana na taifa jirani.

Rwanda na Burundi hamna Kabila la waha hivo hawana kitovu chochote au chimbuko la hizo nchi labda tu kwa kuhamia na kuomba uraia
View attachment 2811177
View attachment 2811180
 
Kama wanaipenda sana rwanda, Burundi Na DRC basi Warejee huko

Tz ni ya watanzania Kwa makabila yake... ukiona kabila lako lipo india una taka kusogeza mpaka hadi singida😂 haito kubalika, au kwenu Oman unataka kusogeza mpaka hadi bagamoyo, hii sio sawa bora urejee wewe kwa babu zako au asili yako😂
 
Kuwa muelewa, waha hawajawahi sema chochote wala hawahangaiki. Anayehangaika ni PK, anataka kuleta za Idd Amin kuhusu kagera.
Masanja alisema tunanunua vifaru vya nini kwenye sherehe za uhuru mbele ya PK.
 
Mimi nilikuwa nikifikiribWaha Wana unasaba na Warundi! Wanasikilizana lugha.
warundi pia wanaongea lugha ileile ya rwanda. hivyo inawezekana ni kweli, watu wote wa burundi, rwanda, kigoma ni walewale tu ila hiyo haimaanishi kwamba ni wanyarwanda, kwasababu makabila yote ya mipakani yapo pande zote mbili za nchi zilizoko mipakani. hao wameru wa arusha na wamasai hata kenya wapo hivyo hivyo, hao kina mwita hata kenya wapo kwa majina na tamaduni hizo hizo, hao wajaluo, hao wahaya na uganda wanaendana vilevile, hao wanyasa wa malawi na wanyasa wa tanzania ni wale wale hadi kuna kipindi wanyasa wa malawi walikuwa wanataka kujitoa malawi wawe watanzania kwa sababu wanatengwa, wamakonde wapo msumbiji na mtwara, na wayao pia, wazigua wapo tanga na kenya pia. wachaga na wakenya wametenganishwa na mlima tu. kwahiyo kama yeye anasema kigoma ni rwanda hata sisi tuna haki kusema Rwanda ilikuwa Tanzania na tunaweza kuichukua kama vipi.
 
"...tunaweza kuichukua kama vipi"🤣🤣

Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu ulioambatana na lugha ya kibabe🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom