Wagombea wa Urais 2015...

Wasicheze rafu tuu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Naam, Dr W . P Slaa, ana kila sifa.
Thats why kwenye hiyo list umemuweka No Moja
PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS

Dr Slaa kasomea Theology tuna chagua Rais kwa ajiri Ya kuongoza misa makanisani! Acheni utani na Nchi yetu
 
Umempendekeza Lowassa ili iwe rahisi kwa Padri Slaa kushinda! Kwa taarifa yenu CCM haita msimamisha Fisadi Lowassa!
 
....
EDWARD NGOYAI LOWASSA....
....
....Edward Ngoyai Lowassa... huyu ndie KING OF BONGO POLITICS..... mtake...msitake....ishapita...!!!
 
i think ur ryt kwa CCM LOWASSA HAZUILIKI WAKIMZUIA ATAGOMBEA ATA KWA CHAMA KINGINE KAMA UHURU NA RUTTO JAMAA NASKIA ANA NGUVU KUBWA SANA KWENYE CHAMA NA SYSTEM

Ishu ya mgombea binafsi ikipita kwenye katiba mpya ccm lowassa hawatampata..yupo ccm sababu anautaka urais....
 
Nilijua tu kama nitaitwa Sheikh Yahya Junior. Lakini,amini nawaambia threads zote zitapita lakini hii itasimama...

Mkuu.
Je kuna uhusiano wowote na arrangement za hao ma Candidates (from No 1 to No 3) na ushindan wao.
Kwa namna nyingine.
Kwanini Dr Slaa (Rais wa Mioyo ya Wa Tanzania) umemuweka Nambari wani...
 
Nilijua tu kama nitaitwa Sheikh Yahya Junior. Lakini,amini nawaambia threads zote zitapita lakini hii itasimama...

Mkuu, naweza kukubaliana na wewe ila napenda kujua hayo maono umeyapataje? Nataka kuelewa tu namna ulivyofikishiwa maono yako kwa imani yako.
 
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.

Kama hiki ni kigezo basi wanasiasa wote hawana sifa za kugombea maana wengi ni wazinzi na hata huyo white hair unayejivunia si msafi kihivyo kama unavyomdhania...mchunguze kalamba na analamba wangapi in and out of politics?
 
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.

Ndugu Mwiba, Slaa anaweza asifae kuwa rais kama ulivyosema. Lakini kumbuka kuwa raisi anatakiwa kuwa mmoja tu na sio wawili. Ulivyosema Slaa hafai ulitaka Lipumba na Lowasa wawe marais wa JMT? Haiwezekani....

Suala jingine ni kwamba huwa hatupigii kura asiefaa, bali anaefaa! sioni haja ya wewe kutumia nguvu nyingi kusema Dr Slaa hafai maana inaonekana uko kishabiki zaidi. Ungekuwa msaada kwa watanzania kama ungetaja anayefaa kuliko kutuambia asiyefaa. Otherwise, kwa wenye akili tutasema huyo Dr Slaa atakuwa ni tishio kwa Candidate wako.

Taifa kwanza, chama baadae!
 
naona mawimbi tu/chenga chenga ..ngija nikaweke zuku/star times/DSTV ntarudi upya kuja kusoma/tizama
 
Mh Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa face book leo amewataja watu wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM ila nimecheka sana nilipoona na jina la Mwigulu ndani. Hivi Tanzania itakuwa nchi ya aina gani with Mwigulu as President? Ameandika hivi:-


Miongoni mwa watu wanaotazamiwa kuchukua fomu kuwania Urais ni Mhe. Bernard Membe, Mhe. Mwigulu Nchemba, Mhe. William Ngeleja, Mhe. Emmanuel Nchimbi, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe, Mhe. John Magufuli, Mhe. Steven Wassira, Mhe. Samwel Sitta, Mhe. Edward Lowassa. Watatu wa mwanzo ni wanachama wa kundi la M2015 (Mustakabali 2015) tulolianzisha miaka mi2 iliyopita, halifungamani na yeyote, wkt ukifika tutaamua kumpa nani kati ya hao. Je wewe ungependa nani apeperushe bendera ya CCM 2015? Toa jina, toa sababu.

Mwigulu nadhani yupo over ambitious sana
 
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...

Ni vyema kabisa kwa utabiri wako. Dr.Slaa amekuwa kipenzi cha watu hasa kutokana na uwezo wake wa kuchambua uovu wa serikali bila woga. Amekuwa ni mtetezi wa masilahi ya umma na maendeleo ya wananchi akisisitiza nguvu ya umma katika kuleta mabadiliko na maendeleo ya kweli.

Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa huyu ni simba ndani ya CCM. Amethubutu kuwajibika kwa kuchukua maamuzi magumu na wala hajutii matokeo ya kujiuzulu kwake! Aliyekuwa akimwakilisha ndiye aliyemtosa na kumwacha solemba! Waswahili wanasema,"Kikulacho ki nguoni mwako." Kwa nini Rostam Aziz alizitosa siasa za CCM na kusema zimejaa mchezo mchafu na kuzifananisha na maji taka?

Profesa Lipumba amekuwa mpole sana baada ya Maalim Seif kupewa ulaji huko Zanzibar. Anafaa kuwa kiongozi wetu kwani mbali ya kuwa msomi mwanauchumi, ametumika na bado anatumika na baadhi ya nchi katika kutatua migogoro ya kiuchumi katika nchi hizo. Nashangaa kwa nini hapa nyumbani serikali haijampa kazi? Tofauti za kivyama na itikadi zake katika mustakabali wa maendeleo ya nchi vinatakiwa kuwekwa mbali kabisa.
 
ni lowasa tu 2015, dr slaa atausikia tu,arudi kanisani akahudumie watu
 
Jamani naombe mupige kura ili kupima mwanasiasa yupi kati ya hao anastahili kuchaguliwa na ccm kwa kulinganisha na nguvu za mgombea wa chadema.
 
slide-2.png

slide-1.jpg


slide-7.jpg

JANUARY.jpg
 
kweli mbege ukichanganya na akanana pamoja na marijuana ni hatari sana kwa ubongo wako.

sasa na wewe ndo umepost nini?
 
Back
Top Bottom