Wagombea wa Urais 2015...

kuna mtu mmoja nimemsahahu jina lake alisema kwamba ccm ni kama kambale kila mmoja ana sharubu sasa unashindwa kuelewa ni nani kiongozi au mkubwa wa ukoo
 
Kama wanaona mwenzao aliyeko madakani uwezo wake ni mdogo kuliko wao kwanini wasijitokeze,mimi nasubiri waniletee mmoja wa kupambana na wenzie wa vyama vingine ili nichague yule anaenifaa.
 
this is true
 
hizi ni propaganda za ccm kutaka kututoa kwenye swala la msingi kuhusu katiba mpya ya wananchi
ili kupunguza idadi ya wananchi kuwa na uelewa wakutosha kuhusu katiba mpya ya wananchi
 
shughuri unayofanya ni shughuri ya iblis (UCHONGANISHI)
 

Hivi CCM wanachomtakia EL ni nini? Mpunga anaowahonga? CCM lazima wamchague mtu ambaye atawachukulia hatua BMK na JK kwa uhujumu wa uchumi.
 
uchaguzi wagombea watakuwa wa 2 tu wa ukawa na wa mainterhamwe
 
Hao ndio mmoja wapo atakuwa raisi.watanzania tusichanganywe na makundi ya watu wanao tajwa tajwa hiyo kutuzubaisha watanzania ili tushindwe kuwafuatilia udhaifu wao .

x.Dr.Slaa kutokana na kuwa bado na mvuto kwa watanzania kwani tayari anao mtaji wa kura wa 2,272,634 ambazo alizipata mwaka 2010 .Tofauti na wenzake ambapo kura za kikwete zitabakia kuwa za kikwete na wala hazitakuwa za Membe wala Lowasa .Wao itabidi watumie busara kushawishi wapiga kura.

Changamoto ambazo Slaa atakuta nazo kama atapita itambidi kuteua waziri mkuu toka wabunge wa ccm kwani kutokana katiba ya 1977 na hii mpya inayojadiliwa kuwa na vipengere vinavyo tamka kwamba waziri mkuu atachaguliwa kutoka chama chenye wabunge wengi ,psrq

Watanzania tuanze kuwapima hao mapema kama wanatosha au hawatoshi kwa kuangalia vigezo vya uadilifu,uwajibikaji na kuvumiliana.

Karibuni .
 
Tujadiliane bila ya kuchafuana ,kama mtu unamwona sio mwadilifu au ni mwadilifu wewe weka facts.
 
lowasa mwizi leo ukataka awe rais utakuwa na kichaa wewe, hivi record ya membe nii ipi mpaka nae tumfikukie kuwa rais...rais ni Dr Slaa tu. .
 

Edward Lowassa na Benard Membe wana SLIM chance ya majina yao kupenya kwenye CHUJIO la kamati kuu ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…