Yaah...Mr Mshana...tulisoma kwenye somo la kiingereza..sifa za lugha za matangazo,mojawapo ni kuruhusiwa kuvunja sheria za sarufi,lengo ni kuvutia Wateja.Mmh hili ni jipya kwangu
Aproved! Nimesoma lugha, kuna jambo wanaita 'stylistics', lugha za matangazo zinaruhusu pasi na shaka...Mmh hili ni jipya kwangu