NotedHaya maisha ku-enjoy ni kuwa na kazi unayoifanya kwa bidii na inakuingizia kipato kizuri cha kukuwezesha kufanya mambo yako mengine mengi. Kuangalia Tv siku nzima ndio inawafundisha kuwa wachapa kazi au inawadumaza?
Ushauri: Watafutie kazi hapo kwako za kutosha, waambie kwa masaa 6 utawapa hata kahela fulani. Wapangie ratiba. Kazi masaa x, Tv masaa X nk. Na tv waangalie program ya maana sio kuwaangalia wasanii tu wanatingisha vikoki vyao siku nzima. Na kama hakuna kazi basi WAONDOKE. Wakakae na ndg mwenye kazi au kwa wazazi wao.
Kiangazi hakuna s hughuli za shamba,hata Mimi mwenyew huwa nalimishaKosa namba moja ni kuhamishia wanao sebuleni ili tu kina shem walale chumbani, inakera mno hii kitu,
Kuumia ili kuwafurahisha wengine niliacha maana hupati thawabu yoyote sababu ni unafiki na Mungu hajihangaishi na mnafiki
Familia ulikooa nidhamu yao iko chini sana, cha kufanya kwa vile ni viburi tafuta shamba wapeleke huko washinde huko mpaka jioni hakikisha wanarudi hoi, kwa muda wa wiki 1 halafu wape nauli wao na dada yao waende kwao kupumzika, ni dharau moja konki na watajifunza
Usijilegeze mbele ya mkeo Sasa vaa uso wa mbuzi ukilegea utajuta ukoo wote utahamia hapo
Kama ulisoma ndugu ulienda kukariri,Maana yake ni kuwa hiki kisa sio Chako , hata tukishauri haina impact
Nikweli Ila wasukuma huwa wanaadabuIla washamba wengi wanakua na heshima Hawa sijui Ni washamba wa wapii
Bro kama umeniona kabisa yaani hata ukweni sijawahi fika, na kwa tabia niliyoiona inakatisha tamàaSio copy n paste. Huyu yamemtokea mwenyewe. Ameoa kutoka familia duni isiyokua na malezi Bora. Yeye kaangalia sura na makalio. Acha ale mavi.
tafuta cku panga na wife mnawaita mnawapa mashart atakae shindwa awe huru kuondoka ama ukute Dada yao ashaenda kukusema vbaya kijijin ssa ndo maana wanakudharau
Yeye nahis anaogopa wasimseme vibaya kwao.Duh jaman mbona n umri ambao unaweza kuongea nao na kuwapangia vya kufanya maana bado watto hao ukizid kuwaendekeza watakupanda kichwan kwanza hyo tv Kama vp chomoa nyaya zote ili hata wakija na flash wasiweze kufanya lolote au peleka chumban kwako then tafuta cku panga na wife mnawaita mnawapa mashart atakae shindwa awe huru kuondoka ama ukute Dada yao ashaenda kukusema vbaya kijijin ssa ndo maana wanakudharau
Tena huenda wakakesha kabisaNani amekuambia chumbani hata kukuwa na mkeka anajikunja vizuri anauchapa usingizi, mgeni mwenye dhamira ya kukaa kwa munda asie ba malengo ya kuondoka leo anakomaa eneo lolote utakalo mpa, as long anakula bure, anaangalia tv bure nk
SawaHao watoto wana malezi mabobvu huko watokako na walikua hawamuheshimu dada yao tangu huko kwao, sababu heshima hakuna kwa dada usitegemee wewe shemeji utapata,
Hofu yangu ni kuwafundisha hizo tabia mbaya watoto wenu na pengine hata kuwa abuse nyie msipokuwepo,
Cha msingi ni kuongea na mke wako kua sasa inatosha watoto kulala kwenye makochi, wapatie nauli warudi kwao haraka iwezekanavyo, na next time mgeni yoyote akija kwako usiwatoe watoto wako walale kwenye kochi wala kulala chini, bali huyo mgeni ndie anapaswa kulala kwenye kochi au chini.
Lakini hao ni watoto miaka 15 na 17 nafikiri ni kuwaelekeza tu.Usiwasumbue watoto wako kisa wageni, labda kwa shida sana wawe wazazi.
Hao wahuni mlitakiwa muda wa kulala muwape shuka na muwaambie walale sebleni.
Kumbe una stock ya mchele na mahindi mwaya, hongera.
Bro kama umeniona kabisa yaani hata ukweni sijawahi fika, na kwa tabia niliyoiona inakatisha tamàa
Hlo ndo linatesa weng hasa kweny ndoa pale n kwake lazma aweke Sheria ilimrad iwe za haki asimkandamize mtu Mambo ya kufa na tai shingon achie wazungu mtu atakujaje kukupelekesha kweny himaya yako jaman dahYeye nahis anaogopa wasimseme vibaya kwao.
Hiz ndo zle akili wanasema za kuambiwa changanya na zakoNdo tatizo la kuokota mwanamke na kuamua kuishi nae.Sasa utaishije na mwanamke ambaye hata kwao hupajui?.
Mkuu hayo matatizo umeyataka wewe mwenyewe usitafte mchawi.
Ushuri wangu kama hao shrmu zako ni wakike watongoze,wakimwambia ndugu yao kua umewatongoza atawafukuza mwenyewe.
Si ata hisi unawafanyia roho mbaya
Nahofia watajisikia vibaya
eeeh!! ndiyoHahaha kwahiyo wasukuma ndio zao hizi?