Wageni wengine bwana du!

Sasa si uwakanye maana hao ni kama wadogo zako tu.
 
Labda umewazoesha vibaya, vipi huyo dada yao alikukuta una nyumba au mlijenga kwa pamoja? mbona wanakudharau hivyo, umeshindwa kuwadhibiti kwa hilo mpaka uje jf kwa back up, ungenipa hao ndugu niishi nao japo kwa week moja tu wangenyoka
 
waelekeze wasipoelewa lamba makofi
 
Una roho ngumu yani unawaacha watoto wanalala sebuleni tena kwenye makochi, halafu ndugu wa mchumba wako wanalala chumbani, we mzima kweli,
 
Jamaa mmoja alipokea mashemeji kama ww ila wao walikuwa wakiume, siku zikaenda siku madogo walikuwa wanaangalia match sa ta tano usiku laliga, jamaa alikuwa amelala mapema sa 3 sasa kushtuka, akawambia nenden mkalale kesho mtaangalia, sasa madogo walipopeleka taarifa kwa mama yao kwamba wananyanyaswa hawatakiwi waangalie TV, mama kapokea kama lilivyo anaona watoto wake wananyanyaswa,lkn Infact sio kwel, ila ndg ni kuishi nao kwa akili sometimes kama sio necessary wasije kuwatembeleen, ndugu ni lawama sana
 
Usiwasumbue watoto wako kisa wageni, labda kwa shida sana wawe wazazi.

Hao wahuni mlitakiwa muda wa kulala muwape shuka na muwaambie walale sebleni.

Kumbe una stock ya mchele na mahindi mwaya, hongera.
 
usiwachekee mwambie mke wako wanatakiwa wawe watii, au waondoke mara moja.

mimi dogo alianza kumchukulia poa shemeji yake, nikawambia dogo huyo siyo mke wako ni mke wangu mimi tu.
Alimchukuliaje!!! Alimtaka kimapenzi
 
Labda umewazoesha vibaya, vipi huyo dada yao alikukuta una nyumba au mlijenga kwa pamoja? mbona wanakudharau hivyo, umeshindwa kuwadhibiti kwa hilo mpaka uje jf kwa back up, ungenipa hao ndugu niishi nao japo kwa week moja tu wangenyoka
Week 1 ni muda mrefu sana, mimi in 2 hours wataomba pooo.
 

Ulimpandishia sauti juu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…