Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,499
- 14,360
Jana mchana nikiwa katika kazi zangu hapa Zanzibar niliingia ofisi moja ya Serikali.... kwa mbali nilisikia wanajadili jinsi ya kutafuta dawa/sumu ambayo inaweza ikamwaga au kupuliziwa kwenye chupa hasa za Bia, naandika hapa nikiwasihi ndugu na wapendwa mnaotumia kinywaji chenye kileo muwe makini, nawaomba na kuwatahadharisha mkiingia hapa visiwani msikubali kunywa bia glass hii ni kwa usalama wa afya na maisha yenu.. maana hawa jamaa baada ya kujaribu zoezi la kuteketeza Bar moto kushindwa kufanikiwa wanataka kuja na mbinu hii nyingine na hii itawadhuru na kuwaathiri watu wengi endapo itafanikiwa....
nawasalisha...
nawasalisha...