Wageni mnaoingia Zanzibar kuweni makini na hili...

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,497
2,000
Jana mchana nikiwa katika kazi zangu hapa Zanzibar niliingia ofisi moja ya Serikali.... kwa mbali nilisikia wanajadili jinsi ya kutafuta dawa/sumu ambayo inaweza ikamwaga au kupuliziwa kwenye chupa hasa za Bia, naandika hapa nikiwasihi ndugu na wapendwa mnaotumia kinywaji chenye kileo muwe makini, nawaomba na kuwatahadharisha mkiingia hapa visiwani msikubali kunywa bia glass hii ni kwa usalama wa afya na maisha yenu.. maana hawa jamaa baada ya kujaribu zoezi la kuteketeza Bar moto kushindwa kufanikiwa wanataka kuja na mbinu hii nyingine na hii itawadhuru na kuwaathiri watu wengi endapo itafanikiwa....
nawasalisha...
 

pangalashaba

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
1,235
2,000
Duuuh. Tutanunua za kopo afu tunanywea kwenye vyumba tulivyofika mahotelini. Ila katu hatutaacha kula bia mpaka na wao waache kuf***na...
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,596
2,000
hao watu kama umewakariri usipande nao chomboni, wao ni wa uzao wa shetani halafu wanapambana kinyume na baba yao, hatawaacha!!!
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,531
2,000
Pombe ni kosa zaidi ya wanaume kulana wao kwa wao? Mbona wanatumia nguvu nyingi kukataza pombe wanasahau dhambi nyingine?
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,531
2,000
hao watu kama umewakariri usipande nao chomboni, wao ni wa uzao wa shetani halafu wanapambana kinyume na baba yao, hatawaacha!!!

hawa jamaa ni kuwa nao makini. Watakupoteza.
 

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,497
2,000
Pombe ni kosa zaidi ya wanaume kulana wao kwa wao? Mbona wanatumia nguvu nyingi kukataza pombe wanasahau dhambi nyingine?


nashangaa mzee wanaume wenye tabia za kishoga wapo kibao lakini pombe wanaitolea macho....
 

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,497
2,000
Very good. Choma bar zote ZNZ. Ulevi ndio baba wa maasi.


wameshindwa kuchoma Bar moto maana kuna nyingine ni za JWTZ na POLISI wakijipendekeza kule wanatolewa sadaka...
Halafu mbaya zaidi hizo pombe mpaka kwenye mahotel makubwa zinauzwa,
 

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,606
2,000
badala ya kupanga mikakati ya kuboresha usafiri wa meli / boti zao wanapanga kupambana na upuuzi usio na tija
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom