Wafuatao watapata tabu sana

Wafuatao watapata tabu sana

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau wa Awamu JF

Kama unazo tabia zifuatazo hapa chini Basi nchi haikufahi hata kidogo hivyo ni bora ubadilike mapema.
(1)Wakwepa Kodi
(2) Wala Rushwa
(3) Mnaotetea Ushoga
(4) Wabakaji
(5) Msiotunza Wazazi wenu
(6) Mnaochukia ndugu zenu
(7) Mliokosa Uzalendo
(8) Mnaoitakia Mabaya Nchi yetu
(9) Mafisadi
(10) Mnaotumia Madaraka vibaya
(11)Mliozoea kuwazulumu Wajane
(12) Waongo
(13) Wachawi
(14) Wahalifu
(15)Matapeli
(16) Wanafiki
(17) Wazushi
(18) Msiopenda kufanya Kazi
(19) Mnaokesha kuiombea nchi yetu Mambo Mabaya
(20) Wasaliti wa Nchi yetu
(21) Wahaini
(22) Vibaka
(23) Wachawi
(24) Wavivu
(25) Wezi
(26) Waongo
(27) Wavivu wa kufikiri
(28) Wanaopinga kila Jambo Zuri linalofanywa na Mhesh Rais wetu JPM
(29) Wanaotumiwa na maadui zetu kutuhujumu.
(30) Wanaopinga Ujenzi wa Reli ya Kisasa
(31) Wanaopinga Ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Rufiji.
(32) Wanaopinga Ujenzi wa Hospitali za Wilaya nchi nzima.
(34) Wasiopenda Ujenzi wa Barabara za Lami nchini kote.
(35) Wanaopinga Ujenzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchi nzima.
(36) Mliokosa uthubutu
(37) Mnaomuhuju Mhesh Rais Magufuli
(38) Msiopenda kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu
(39) Wanaopinga Ujenzi wa Viwanja vya ndege
(40) Wanaopinga unun
uzi wa Ndege Mpya
(41) Wanaopinga JPM kuongezewa muda wa kutawala hadi 203
(42) Mnaopinga kila jema la Serikali ya JPM
(42).........
*Tunatekeleza*
 
hizo ndege zikamatwe zote,utanunuaje ndege tisa wakati wananchi hali mbaya, only fools can do that, Emirates wenyewe wana ndege 150 na wanapata loss,na ni kampuni kubwa yenye jina na wateja wengi,a
 
Wadau wa Awamu JF

Kama unazo tabia zifuatazo hapa chini Basi nchi haikufahi hata kidogo hivyo ni bora ubadilike mapema.
(1)Wakwepa Kodi
(2) Wala Rushwa
(3) Mnaotetea Ushoga
(4) Wabakaji
(5) Msiotunza Wazazi wenu
(6) Mnaochukia ndugu zenu
(7) Mliokosa Uzalendo
(8) Mnaoitakia Mabaya Nchi yetu
(9) Mafisadi
(10) Mnaotumia Madaraka vibaya
(11)Mliozoea kuwazulumu Wajane
(12) Waongo
(13) Wachawi
(14) Wahalifu
(15)Matapeli
(16) Wanafiki
(17) Wazushi
(18) Msiopenda kufanya Kazi
(19) Mnaokesha kuiombea nchi yetu Mambo Mabaya
(20) Wasaliti wa Nchi yetu
(21) Wahaini
(22) Vibaka
(23) Wachawi
(24) Wavivu
(25) Wezi
(26) Waongo
(27) Wavivu wa kufikiri
(28) Wanaopinga kila Jambo Zuri linalofanywa na Mhesh Rais wetu JPM
(29) Wanaotumiwa na maadui zetu kutuhujumu.
(30) Wanaopinga Ujenzi wa Reli ya Kisasa
(31) Wanaopinga Ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Rufiji.
(32) Wanaopinga Ujenzi wa Hospitali za Wilaya nchi nzima.
(34) Wasiopenda Ujenzi wa Barabara za Lami nchini kote.
(35) Wanaopinga Ujenzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchi nzima.
(36) Mliokosa uthubutu
(37) Mnaomuhuju Mhesh Rais Magufuli
(38) Msiopenda kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu
(39) Wanaopinga Ujenzi wa Viwanja vya ndege
(40) Wanaopinga unun
uzi wa Ndege Mpya
(41) Wanaopinga JPM kuongezewa muda wa kutawala hadi 203
(42) Mnaopinga kila jema la Serikali ya JPM
(42).........
*Tunatekeleza*
Mwenye akili akikuambia jambo la kijinga na ukalikubali basi nawe ni mjinga,,,,sasa ni hivi, kuna mikataba nchi inaingia na jumuiya za kimataifa ambayo ina masharti yake ukiisaini maana yake umekubali kila kitu,mfano mikataba ya SADC ndiyo imesababisha ndege yetu kuzuiwa,vile vile mikataba ya kimataifa inayotambua haki za binadamu inajumuisha pia haki za mashoga,sasa tanzania imesaini lakini wapumbavu wachache wasiojitambua wanadanganywa eti kuna watu wanatetea mashoga,ukweli ni kuwa tanzania tumesaini mikataba inayotambua haki za binadamu na ushoga ukiwepo,tusiwe wajinga wakuambiwa jambo la kijinga na mjanja ambapo ukilikubali unadhihirisha UJINGA WAKO,.
 
ongeza na hii
42. Viherehere
43. Walioandaa mada hii
44. wanoko noko
45. wajipendekezao
46. walioandamana pale south Embassy etc
 
Wadau wa Awamu JF

Kama unazo tabia zifuatazo hapa chini Basi nchi haikufahi hata kidogo hivyo ni bora ubadilike mapema.
(1)Wakwepa Kodi
(2) Wala Rushwa
(3) Mnaotetea Ushoga
(4) Wabakaji
(5) Msiotunza Wazazi wenu
(6) Mnaochukia ndugu zenu
(7) Mliokosa Uzalendo
(8) Mnaoitakia Mabaya Nchi yetu
(9) Mafisadi
(10) Mnaotumia Madaraka vibaya
(11)Mliozoea kuwazulumu Wajane
(12) Waongo
(13) Wachawi
(14) Wahalifu
(15)Matapeli
(16) Wanafiki
(17) Wazushi
(18) Msiopenda kufanya Kazi
(19) Mnaokesha kuiombea nchi yetu Mambo Mabaya
(20) Wasaliti wa Nchi yetu
(21) Wahaini
(22) Vibaka
(23) Wachawi
(24) Wavivu
(25) Wezi
(26) Waongo
(27) Wavivu wa kufikiri
(28) Wanaopinga kila Jambo Zuri linalofanywa na Mhesh Rais wetu JPM
(29) Wanaotumiwa na maadui zetu kutuhujumu.
(30) Wanaopinga Ujenzi wa Reli ya Kisasa
(31) Wanaopinga Ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Rufiji.
(32) Wanaopinga Ujenzi wa Hospitali za Wilaya nchi nzima.
(34) Wasiopenda Ujenzi wa Barabara za Lami nchini kote.
(35) Wanaopinga Ujenzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchi nzima.
(36) Mliokosa uthubutu
(37) Mnaomuhuju Mhesh Rais Magufuli
(38) Msiopenda kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu
(39) Wanaopinga Ujenzi wa Viwanja vya ndege
(40) Wanaopinga unun
uzi wa Ndege Mpya
(41) Wanaopinga JPM kuongezewa muda wa kutawala hadi 203
(42) Mnaopinga kila jema la Serikali ya JPM
(42).........
*Tunatekeleza*
Pumba hizi zinastahili kuliwa na nguruwe siyo kuzileta hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom