Bashatu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 834
- 889
Niliskia Wasafwa wa mbeya ni noma. Mtu akifa kwa ajali ya moto, kufukiwa na kifusi, kupigwa nk maiti haiingizwi ndani ya nyumba wala haioshwi.Ni kweli kabisa hasa Wamasai na wabarabeigi wana hiyo mila
By the way nimependa mada. Huwa nasikitika kuona maiti inasafirishwa kwa mamilioni kwenda kufukiwa. Haina faida yoyote bora ichomwe basi. Mjini pasiwepo na makaburi