Hiyo kweli ni kutegemeana kati ya viumbe hai na mazingirawatibet wanaita sky burial. wanakupeleka mlimani na kukuacha uliwe na ndege.
Mshana nenda pm.. Basi kuna mada yako nimeiona nikakutumia ujumbeDuu hebu kikumbuke fasta


Aisee Dunia ina mambo....nashukuru sana kwa elimu hii, bila kuipata humu JF sidhani kama ningekuja kufahamu hili kirahisi kwasasa.Wana dini zao
Humu duniani style za kuishi zinategemea sana na mahali ulipozaliwa. Ungekuwa umezaliwa Tibet usingeona shida kukata mwili wa binadamu mwezako. Inatisha lakini!Sijawahi kukutana na uzi unaochefua kama huu..
mkuu ule moto wa gesi kwenye zile " nyumba za mazishi" ni hataree. bora nifukiwe tuu.Bora wanaochoma mwili kuliko hawa watu