mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,320
- 57,124
Mwisho wa siku wote tutafufuliwa
Bora wanaochoma mwili kuliko hawa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poapoa si wale wala watu wa Uganda?mshana jr uje na issue ya mashimo kwenye chumba cha wageni UG . Mada zako zunafungua sana macho na pia zinatufariji na kutusahaulisha kuwa hamna watekaji.
NB
Watekaji soon wataanza kufuga maana kitoweo na malisho ya mifugo yapo ya kutosha
Mshana unaogopaga kufa wewe?[emoji115] [emoji817] [emoji111] [emoji120] [emoji779] [emoji817]
Mhhh aiseee!..loooo haya bwanaKiroho ndio kimwili hapana[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779]
Haswaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poapoa si wale wala watu wa Uganda?
Kwa sababu wewe ni binadamu Wa level zingine...kuna kitu nilitaka kukuuliza alafu kutokana na hofu nimesahau daaaahNinapoona hizi dini kuu mbili zinapingana kila siku mpaka kufikia kuangamiza maelfu ya watu kwa jina la dini nawaona ni wapuuzi kiwango cha phd...... Na ufahamu wao ni finyu sana
Ni bora mkuu. Maiti ikichomwa simanzi ni ya siku moja lakini ikiliwa nyama mabaki hubakia tena yakiwa na sura ya kuogofya zaidi