Wafia soka la bongo!?

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,739
Kila saa na refresh jukwaa la spots kuona uzi wa update sababu nilipo siwezi fatilia kinachoendelea kwenye lingi yetu naona kimya tu ni kwamba mko kwenye mgomo au mnataka malipo acheni hizo bana...
 
Mbona unapata tabu ya kutsfuta habari ya jambo usilolipenda, hao wafia Soka la Bongo wamebuni namna ya Kuhabarishana, kuhusu soka la Bongo whatssap group.
 
Kila saa na refresh jukwaa la spots kuona uzi wa update sababu nilipo siwezi fatilia kinachoendelea kwenye lingi yetu naona kimya tu ni kwamba mko kwenye mgomo au mnataka malipo acheni hizo bana...
Mkuu Jana hakuuwa na mechi
 
Back
Top Bottom