Kivipi?Mnafiki sana huyu jaluo
yeah i know but nilikuwa namjoke jamaa coz anajiita jambazi!Sio Kijambazi hapo Obama kaweka Mguu kwny Mzani kwa kificho ili jamaa anaepima uzito ajione overweight. Obama alikuwa na ucheshi wa Kiafrica
Still he's the best presidaa
Sema hawata miss sana maana Trump atafukuza wote kazi![]()
Kawaida Rais anayemaliza mda wake huwa anaondoka na timu yake yote. Hivyo Trump ataingia na timu yake!
Mimi napanda trump atakavoangamiza magaidi na kushugulikia wezi wa kuraNimependa hiyo ya kwanza
let's waitMimi napanda trump atakavoangamiza magaidi na kushugulikia wezi wa kura
Starehe ya Trump ni kulenga shabahaHiyo starehe kwa trump mtaisikia kwenye bomba
Not easy like thatMimi napanda trump atakavoangamiza magaidi na kushugulikia wezi wa kura
Why not? America is a very strong nation military wiseNot easy like that
USA kila kitu unakikuta mezan, na unafuata instructions, no matter he power your, ndiyo maana kunakipindi Obama aliwahi kusema wakati Wa mauaji ya watu weusi, kuwa rais USA haimaanishi kuwa unaweza kufanya chochote,.... Ss jiulize jambo dogo tu la mauaji ya watu weus lilimshinda je Trump ataweza hlo?Why not? America is a very strong nation military wise
Kuna president veto anaweza kuitumiaUSA kila kitu unakikuta mezan, na unafuata instructions, no matter he power your, ndiyo maana kunakipindi Obama aliwahi kusema wakati Wa mauaji ya watu weusi, kuwa rais USA haimaanishi kuwa unaweza kufanya chochote,.... Ss jiulize jambo dogo tu la mauaji ya watu weus lilimshinda je Trump ataweza hlo?
Think
no matter he power your ndo nini?USA kila kitu unakikuta mezan, na unafuata instructions, no matter he power your, ndiyo maana kunakipindi Obama aliwahi kusema wakati Wa mauaji ya watu weusi, kuwa rais USA haimaanishi kuwa unaweza kufanya chochote,.... Ss jiulize jambo dogo tu la mauaji ya watu weus lilimshinda je Trump ataweza hlo?
Think
Nlichoandika kingine mchina akatuma kingine, aseee.mchina balaano matter he power your ndo nini?
yaani wewe bujubuji wewe au ulimwona na ule fulana iliyopanda juu ya shati kama anataka jinyonga nini.Halafu huku wakisema hawajaribiwi na misuti oversize