Wafanyakazi WHITEHOUSE watamiss Mengi

Wafanyakazi WHITEHOUSE watamiss Mengi

Anaingia mshika matako watashikwa matako mpaka waseme poo
 
Huyu mnafiki mno na wenzake kina Hillary, nimefurahi sana kushindwa kwao
 
Nilkuwa na cheki tafiti zilizofanywa na wataalam kuangalia marais wenye IQ kubwa USA all time

Yaani ile top 25 ni marais wa zamani tu, kizaz hiki yupo Bush baba na bush mtoto tu

Tathmini ya Wazungu Wamarekani wamem grade Obama kwny Top ten ya Marais waliofeli zaid Marekani tangu uhuru
 
ad225613308june-9-2011bethe.jpg


Huyo dogo mweusi ni kama anamwambia, "Dah unatuacha na huyu mbaguzi tutatoboa kweli!??" (anaonesha ka-mind kweli yani!)
Hahahahha dogo anatamani kuomba kama vipi awe mdogo wake shasha, maana Trump hasomeki muda wowote wazazi wake wanaweza kuambiwa raia hewa wakarudishwa sengerema.
 
Back
Top Bottom