Wafanyakazi watatu TANESCO Watiwa Mbaroni Kufuatia Kifo cha Mfanyakazi Mwenzao Aliyenaswa na Umeme

Meneja anadai UMEME umezimwa uliomua hiyo kijana umetoka wapi ?meneja aojiwe vilivyo
Haya ndo matatizo ya kuajiri vihiyo, majitu hayajui hata switch ikiwa off inakaaje. Halafu meneja bila aibu anasema umeme ulikuwa umezimwa ila nyaya zina umeme. Only in Tanzania.
 
Huyo meneja hio tittle ya muandisii ni sahihi kweli kaka? yani technical problem analichambua kama anaelezea siasa? eti ni bahati mbaya na kingine anadai line ilizimwa but wameshakaa kukuta umeme na kumpiga fundi aliepanda kweli? Hebu tupeni CV ya huyu meneja kwanza kabla hatujaanza kumlaumu kwa majibu yake mepesi ivo ...labda ni chambue safety gear na precautions ambazo zilipaswa kufatwa hapo na kwa vile hazikufatwa ndo maana imetokea hio ajali ya short circuit walau ingekuwa kuanguka kwa nguzo au kukatika mkanda au kuteleza kwa gefu but kwa vile ni short 100% pana uzembe apo Kwanini nasema ivo matengenezo ya umeme wa msongo wa kati yani medium voltage yani sheria zake formen ana play part huku linesmen nao wakicheza part zao kuhakikisha usalama upo tena mkubwa ,Kwanza ili line iwe dead yani haina umeme lazima Mafundi wahakikishe Substations au Load breaker ya iyo line imezimwa. na hio sehemu kufungwa na funguo kukabiziwa mafundi na anaepanda juu anatapanda na hio master key ya hio feeder anayoenda kuifanyia matengenezo kuzima peke hakutoshi kusema line iko dead hapo lazima tutest phase zote kama zina umeme au lah kwani unaweza zima mtu akawasha ka generator kake na kacharge line full kwa kupitia ktk transformer sasa tukitest line na kuhakikisha iko dead basi haitoshi pia tunafunga Earthing kila phase lazima tui ground yani hata atokee mlevi hapo sub awashe basi lineman hafikiwi na umeme coz phase zote zimezikwa ardhini hapo sasa ni salama kwa lineman kupanda juu kwa kuendelea na matengenezo shida ya Tanesco ni kufanya kazi kwa mazoea tu yani hakuna weledi tukichambua zaidi ata ndugu yetu marehemu ana makosa but wenzangu wa dini wanadai ni vibaya kumlaumu marehemu anyway Tuwe makini hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya ni uzembe tu
Ahsante kwa jibu lako zuri,kiongozi wa kikosi cha matengenezo awajibishwe mara moja.
 
Bima itahusika na malipo na fidia lakini kama marehemu alikuwa kakatiwa bima
Watamrejeshea roho yake? kama ni uzembe aliyesababisha apewe manslaughter charges achezee japo mvua kumi iwe fundisho. hata kama baada ya miaka mi3 watamuachia for good conduct ila itawastua. Maisha hayana replacement.
 
Bima ni kwa ajili ya familia itakayobaki bila baba, iweze kusimama tena
 
Huyo meneja hio tittle ya muandisii ni sahihi kweli kaka? yani technical problem analichambua kama anaelezea siasa? eti ni bahati mbaya na kingine anadai line ilizimwa but wameshakaa kukuta umeme na kumpiga fundi aliepanda kweli? Hebu tupeni CV ya huyu meneja kwanza kabla hatujaanza kumlaumu kwa majibu yake mepesi ivo ...labda ni chambue safety gear na precautions ambazo zilipaswa kufatwa hapo na kwa vile hazikufatwa ndo maana imetokea hio ajali ya short circuit walau ingekuwa kuanguka kwa nguzo au kukatika mkanda au kuteleza kwa gefu but kwa vile ni short 100% pana uzembe apo Kwanini nasema ivo matengenezo ya umeme wa msongo wa kati yani medium voltage yani sheria zake formen ana play part huku linesmen nao wakicheza part zao kuhakikisha usalama upo tena mkubwa ,Kwanza ili line iwe dead yani haina umeme lazima Mafundi wahakikishe Substations au Load breaker ya iyo line imezimwa. na hio sehemu kufungwa na funguo kukabiziwa mafundi na anaepanda juu anatapanda na hio master key ya hio feeder anayoenda kuifanyia matengenezo kuzima peke hakutoshi kusema line iko dead hapo lazima tutest phase zote kama zina umeme au lah kwani unaweza zima mtu akawasha ka generator kake na kacharge line full kwa kupitia ktk transformer sasa tukitest line na kuhakikisha iko dead basi haitoshi pia tunafunga Earthing kila phase lazima tui ground yani hata atokee mlevi hapo sub awashe basi lineman hafikiwi na umeme coz phase zote zimezikwa ardhini hapo sasa ni salama kwa lineman kupanda juu kwa kuendelea na matengenezo shida ya Tanesco ni kufanya kazi kwa mazoea tu yani hakuna weledi tukichambua zaidi ata ndugu yetu marehemu ana makosa but wenzangu wa dini wanadai ni vibaya kumlaumu marehemu anyway Tuwe makini hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya ni uzembe tu
Umeelezea vizuri sana. Watanzania wengi uzembe tumeubatiza jina la bahati mbaya. Hao wahusika wote wanatakiwa kufukuzwa kazi na kushtakiwa kwa uzembe.
 
Kumuwekea mtego sio Rais ila kuna hiki kitu kinaitwa "UZEMBE" Ni kibaya sana, usiku kuna mtu aliuwasha bila kuwasiliana na wenzake site. dah inauma sana kijana mdogo sana.
Mtu kama wewe ukiambiwa uandike hotuba ya rais Magufuli hakika itakuwa si rahisi.
 
Kuna mwingine tena sikumbuki ni wapi ila nahisi ni Mbeya au Iringa alikuwa anarekebisha umeme ukawashwa ghafla,aloo jamaa aliwaka moto kabisa..but why hawajifunzii???Mungu amrehemu jamaa.
 
Yani kweli huyo meneja ni jipu kweli na sina uhakika na uweledi wake ....eti lain ilizimwa halaf bahat mbaya ikaw na umeme duuuh,,kwa nchi kama tanzania hatujaanza kufanya live maintainance (kufanya matengenezo huku line ikiwa na umeme) kwa kutokuwa na vfaa vya kisasa na katika matengenezo ya mkondo wa kati (medium voltage frm 11kv,33kv na 66kv ) hurusiwi kupanda kwenye hyo lain bila kuwa na kibali kutoka substation husika kwamba lain imezmwa na pia kupitia linesman watahakiki kwamba imezimwa kwa kuground line zote kama ikatokea hyo baht mbaya line kuwashwa basi fundi asipatwe madhara na line itawashwa endapo kibali kitarudshwa ..au wao wenyew kwa kuwasha load break switch kama walizimia hapo.....sijui haki zake ztakuwa n zp kwa marehemu R.I.P kwake
 
Poleni wafiwa,

Wajitahidi kuwa na mitambo ya kuhakiki kama kuna umeme kabla ya kuushika ingawa ni ajali ya kizembe au bahati mbaya only God knows
Huyo meneja hio tittle ya muandisii ni sahihi kweli kaka? yani technical problem analichambua kama anaelezea siasa? eti ni bahati mbaya na kingine anadai line ilizimwa but wameshakaa kukuta umeme na kumpiga fundi aliepanda kweli? Hebu tupeni CV ya huyu meneja kwanza kabla hatujaanza kumlaumu kwa majibu yake mepesi ivo ...labda ni chambue safety gear na precautions ambazo zilipaswa kufatwa hapo na kwa vile hazikufatwa ndo maana imetokea hio ajali ya short circuit walau ingekuwa kuanguka kwa nguzo au kukatika mkanda au kuteleza kwa gefu but kwa vile ni short 100% pana uzembe apo Kwanini nasema ivo matengenezo ya umeme wa msongo wa kati yani medium voltage yani sheria zake formen ana play part huku linesmen nao wakicheza part zao kuhakikisha usalama upo tena mkubwa ,Kwanza ili line iwe dead yani haina umeme lazima Mafundi wahakikishe Substations au Load breaker ya iyo line imezimwa. na hio sehemu kufungwa na funguo kukabiziwa mafundi na anaepanda juu anatapanda na hio master key ya hio feeder anayoenda kuifanyia matengenezo kuzima peke hakutoshi kusema line iko dead hapo lazima tutest phase zote kama zina umeme au lah kwani unaweza zima mtu akawasha ka generator kake na kacharge line full kwa kupitia ktk transformer sasa tukitest line na kuhakikisha iko dead basi haitoshi pia tunafunga Earthing kila phase lazima tui ground yani hata atokee mlevi hapo sub awashe basi lineman hafikiwi na umeme coz phase zote zimezikwa ardhini hapo sasa ni salama kwa lineman kupanda juu kwa kuendelea na matengenezo shida ya Tanesco ni kufanya kazi kwa mazoea tu yani hakuna weledi tukichambua zaidi ata ndugu yetu marehemu ana makosa but wenzangu wa dini wanadai ni vibaya kumlaumu marehemu anyway Tuwe makini hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya ni uzembe tu
Nimekukubali kiongozi. Kinachouwa Mara nyingi ni routine work. Jamaa keshazoea na inawezekana ni breakdown. Wataalamu wakifuatilia Manager na foremen hawana kazi. + kifungo kwa foremen
 
Back
Top Bottom