Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

Wafanyakazi wa aina hii ni sampuli ya watz walio wengi. Hawana kabisa kitu kinaitwa professionalism. Halafu mnalalamikia CCM kwa kukosa huduma wakati tamaduni yenu kama jamii ni hovyo kabisa.
Wamefukuzwa kihaki na wabadilishe profession hamna mwenye hoteli atakayewaajiri wapuuzi wa aina hii.
 
Hivi Osama angekaa humo akawa anatengeneza mabomu wangemtunzia Siri? Hiyo ya Slaa na Mwakyembe haikustahili kuitwa Siri kwani hiyo ni Hujuma kwa ukawa haipaswi iwe Siri, wafanyakazi walinde Siri za kawaida lakini Siri za kuhujumiana hazipaswi ziachwe hata mara moja.

Osama angetengeneza mabomu hoteli na management yake wangetakiwa watoe videos kusaidia upelelezi wa Hao magaidi. Hiyo ndiyo standard procedure duniani kote..siyo wapuuzi watumishi kujiamulia wao huku hawana madaraka yeyote kutoa video kwa watu wa nje wasiohusika.
Vua miwani zako za kisiasa angalia jambo objectively. Ukawa ukawa ukawa nini hadi tuhalalishe kila kitu kibaya kwa sababu ya ukawa na siasa. Tutaendelea kua maskini wa Hali na fikra namna hii no matter what, kama.sisi wenyewe ni wapuuzi kiasi hiki.
 
Wafanyakazi wa aina hii ni sampuli ya watz walio wengi. Hawana kabisa kitu kinaitwa professionalism. Halafu mnalalamikia CCM kwa kukosa huduma wakati tamaduni yenu kama jamii ni hovyo kabisa.
Wamefukuzwa kihaki na wabadilishe profession hamna mwenye hoteli atakayewaajiri wapuuzi wa aina hii.

Yule dada aliyekaribia kubakwa na Mkuu wa IMF hakutakiwa kusema kitu kwani kusema kwake kulipoteza mteja mkubwa sana. Watanzania mtaacha lini kuishi kwa hisia na ushabiki? Unaona ni sahihi mabilioni ya walipakodi apewe mtu mmoja ili akaseme uongo na watu waone wanyamaze kisa wanalinda kazi? Hawa watu kama kweli wamefukuzwa Mungu atawalinda na watakuja pata kazi nzuri sana.
 
Yule dada aliyekaribia kubakwa na Mkuu wa IMF hakutakiwa kusema kitu kwani kusema kwake kulipoteza mteja mkubwa sana. Watanzania mtaacha lini kuishi kwa hisia na ushabiki? Unaona ni sahihi mabilioni ya walipakodi apewe mtu mmoja ili akaseme uongo na watu waone wanyamaze kisa wanalinda kazi? Hawa watu kama kweli wamefukuzwa Mungu atawalinda na watakuja pata kazi nzuri sana.

We ndo unahitaji elimu ya ziada. Ubakaji ni kosa la jinai. Watu kukutana kwa faragha ni kosa gani la jinai? Hiyo ni invading privacy ya mteja na unethical.
Usitake kulinganisha vitu tofauti. Be logical!
 
Kwa mtizamo wangu watu wale kufukuzwa kazi ni kitu kisicho pingika kwa mfumo wa nchi hii
ila watu hawa ni mashujaa amabao wanatakaiwa kuandikwa hata katika bitabu vya baada ya uchaguzi wa mabadiliko nchini tanzania maana wameweka wazi hujuma mbaya na michezo michafu ya kuhujumu mabadiliko,ya watanzania walio wengi .serikali ijayo ya mabadiliko ni lazima iwakumbuke watu wale popote watakapo kua maana wamesaidia kwa sehem kubwa sana kuwaaibisha wahujumu,a mabadiliko
nawasilisha
 
Hata wewe ktk hotel yako ungewafukuza hao wafanyakayi washaharibu soko kuitangaza hotel haina faragha kwan wangetaka hadharan c wangeenda hata cocobeach bgup sna kwa uongoz wa hotel kuwafukuza itakuwa mfano kw wengne watatofautisha kaz na siasa!
 
Wameharibu kivipi? Kuonyesha dr mihogo,akilindwa na usalama wa taifa ni kosa?

Sasa baada ya wao kuenesha kuwa Dr. slaa analindwa na vijana wa usalama wa taifa nini kimebadilika kwa Dr.slaa na usalama wa taifa zaidi ya wao kutimuliwa kazi?
 
Kwa hiyo kila muongo na mmbea akibandika utumbo wake hapa ni kuwa ana reliable source?
Sasa kama hizo habari zingekuwa siyo reliable source si tayari ungeshasikia Manejimenti ya Serena Hotel ikizikinusha?

Hivi unataka kusema Manejimenti nzima ya Serena Hotel, hakuna yeyote ambaye ni JF member?

Hivi kama kweli hizi habari zingekuwa za uwongo, wangeendelea tu kukaa kimya huku wakijua fika kuwa 'uwongo' huo unaendelea kupunguza confidence ya wateja wao kwa hiyo Hoteli na hivyo kuharibu business yao?
 
Sasa baada ya wao kuenesha kuwa Dr. slaa analindwa na vijana wa usalama wa taifa nini kimebadilika kwa Dr.slaa na usalama wa taifa zaidi ya wao kutimuliwa kazi?
Kwani hujui kuwa kutokana na kazi 'nzuri' waliyofanya hao whistle blowers, imesababisha Dr Mihogo pamoja na wapambe wake watu wa Kitengo wameumbuka vibaya sana?
 
Kimsingi wamefanya KOSA ambalo limetusaidia sana sisi kung'amua "mchezo".Hilo linaitwa "kosa Takatifu".Huwa linatokea na linapotokea "ukombozi"unapatikana.Nadhani kama si ile clip,sisi wanachama tungekuwa na TASWIRA tofauti na tuliyonayo sasa juu ya Dr.Slaa.Watu "tungemwamini"!Ila Mungu kamvua nguo hadharani.Kuhusu hao waliofukuzwa kazi wamefanya kazi yao ya "kinabii" vyema sana na naamini Mungu "atawapa" faraja.Wamechangia ukombozi wa Taifa hili.Yatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
 
Hapo kweli wamevunja sheria za kazi haijabase kisiasa . Mtu akitoa siri ya mteja inamaana anaharibu sifa ya hotel tena sana mwajiri lazima amtimue tu coz angewaacha hakuna mwanasiasa nangelala tena kwenye iyo hotel
 
hapo kweli wamevunja sheria za kazi haijabase kisiasa . Mtu akitoa siri ya mteja inamaana anaharibu sifa ya hotel tena sana mwajiri lazima amtimue tu coz angewaacha hakuna mwanasiasa nangelala tena kwenye iyo hotel

Je kilichokuwa kinafanyika kwa hela za walipakodi kilikuwa sahihi?
 
ningekua boss ningewafukuza tena fasta kuliko hata huyo aliyewafukuza. U don't mess with sheria zilizowekwa kwenye business. Period
 
Labda Ya Kuwachambisha Viongozi Wote Wa UKAWA.
Bila kutaja sehemu za nyuma huna raha wewe, namashaka nawe kuwa za kwako zina matumizi ya ziada. Peleka hoja zako kule jukwaa la wakubwa utakutana na watumiaji na mtaelewana tuu
 
Kama policy ya Serena ipo silent juu ya adhabu ya kufukuzwa kazi bila kujieleza kwa mtu kutoa taarifa hao wawahi CMA kabla hazijaisha siku 30 tangu kufukuzwa kwao.
 
Hawa ni mashujaa wetu tutawapa ajira Ufipa kitengo cha habari.
 
Inashangaza sana mtu kutetea hao kina neema na wenzake. Ninaikubali sana kauli ya Mkapa pale jangwani kuhusu wafuasi wa UKAWA.
 
Back
Top Bottom