Tetesi: Wafanyakazi wa Vodacom wajipanga kugoma Februari

papiso

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
391
230
Habari nilizopata kupitia chanzo cha kuaminika wafanyakazi wote wa kitengo cha customer care pale makao makuu mlimani city wamejipanga kugoma ifikapo february mosi hii inatokana na management ya ero link na vodacom kutopandisha mishahara yako kama ilivyoekezwa na naibu waziri Anthony mavunde.
My take,
Mshikamane mtafanikiwa
 
Ero link ni shida kwakweli ni jipu sugu hasa linalotakiwa tumbuliwa nakumbuka nliwaifanya hapo miaka ya nyuma tatizo wengi hapo wanafiki mnapanga kufanya ivyo wengine wanapeleka umbea kuweni makini mnaoratibu mgomo huo mwisho wa siku mtatolewa kafara
 
Habari nilizopata kupitia chanzo cha kuaminika wafanyakazi wote wa kitengo cha customer care pale makao makuu mlimani city wamejipanga kugoma ifikapo february mosi hii inatokana na management ya ero link na vodacom kutopandisha mishahara yako kama ilivyoekezwa na naibu waziri Anthony mavunde.
My take,
Mshikamane mtafanikiwa

Kwakua wameshindwa kutunza siri muhimu kama hii na mgomo hautafanikiwa. Labda uwe wa mtu mmoja.
 
Mgomo ni maamuzi mkiamua mna revolt wala hakuna cha siri Vodacom wanafahamu unyonyaji unaondelea naamini kabisa baadhi ya vigogo wanafaidika na unyonyaji huu wakisaidiana na ero link hivi hii huyo rais anayesifiwa kutumbua majipu halioni hili vodacom wanaingiza bilions every month kuwaongezea hawa vijana laki moja ktk mishaahara yao ya laki tatu wanaona shida gani lakini
 
Nakumbuka interview yangu moja na kampuni ya uingereza ambayo naifanyia kazi walinihoji sana juu ya mshahara niliokuwa nalipwa hapo hawakuamini kabisa wakaniuliza how do u survive with such low wage kiukweli niliumia sana
 
Mgomo ni haki ila mnapaswa kufuata sheria vinginevyo mtaishia kuambiwa mgomo ni batili na mmevunja sheria. Mhakikishe mmejiandaa kwa lolote litakalo tokea. Kwa sababu unapofukuzwa kazi unakuwa hujajiandaa je mtaweza kuishi mjin bila kaz? Na wengi wenu hamna vyeti vya kueleweka. Na mjue mkifukuzwa kaz hata ukifungua kesi utasota mwisho wa siku utaishia kupoteza muda na pesa kwa kuwa kampun itafanya juu chini msishinde. Hayo ni maoni yangu tu kutokana na uzoefu.nlioupata... Muwe waangalifu vijana
 
Halafu humu humu JF mnatucheka tunaobeba boksi.

Sasa kwa huo mshahara wa chini ya laki 5 dah na kampuni inaingiza mamia ya mamilion kwa siku. Ukienda kiwanda cha neti Arusha watu wanalipwa elf75 kwa mwez na kwasiku wanafanya kazi masaa12 na manyanyaso.
 
Kweli mkuki kwa nguruwe...yaani wanavyotuibia hela zetu kwenye simu wala hawana huruma...
Mkuu anayekuibia sio customer care isitoshe customer.care ndio wanaokusaidia pale upatapo tatizo muda wowote ule labda nikudokeze hii kazi ikoje ni kazi ngumu mnoo imagine unakaa ndani ya ac kali kwa.masaa nane straight kazi yako ni moja kupokea simu na kutatua matatizo ya wateja at a very limited time na kwa siku ni lazima uwe na calls 180 and above na uwe na average talk time ya three minutes acha hapo uwe polite na utoe accurate info ontop of that ufate all regulation za kuhandle mteja vilevile usizidishe hata dakika muda wa launch ambao ni dakika arobain tu na ni hizo hizo huzitumie kwenda msalani,system ipo maalum ku monitor unafanya nini kwa wakati gani na kila mteja i mean kila call inakuwa na form maalum ambayo ni lazima uijaze hawajui habari ya wewe umechoka au la ni kazi kwenda mbele next time jaribu kutafakari kama ndio mwanao anafanya kazi hapo ungujisikiaje,NB ntaendelea
 
Kuna siku nilijiuliza kuhusu ukali wa ac pale ofisini kumbe siri kubwa za zile ac sio kwamba wanawapenda sana wafanyakazi la hasha ni kwa ajili ya kupoozea macomputer yao maana daima haziimwi hata kama,kwa mshahara wa laki tatu kwa maisha ya sasa tena kwa kampuni kubwa kama voda ni wizi wa waziwazi kabisa aibu hawana ero link na voda ni mafisadi wa kiwango cha juu kabisa cha ufisadi tanzania kutokea cha ajabu serikali ipo nakumbuka yule mama waziri mungu amlaani popote alipo alikuja pale kwa mbwebwe mwisho wa siku kapewa kitu kidogo kimya sasa tunataka kumuona na huyu wa sasa atafanya nini
 
Ile kazi ni ya kinyonyaji mnoooo vipengelee nilivyovitaja na vingine vingi ukifanikiwa ndio unapata above laki tatu ila kuna sharti moja la ajabu sana ili upate bonus ni lazima uwe na high performance ambayo wafanyakazi wengi wanajitaidi kufika ila ikatokea siku moja ukaumwa au ukapata dharura ya aina yoyote ile basi zile juhudi zako zote kazi bure utaambulia below laki tatu ile ofisi mfanyakazi mwenye mwezi mmoja na mwenye miaka nenda rudi wanalipwa sawa na mara nyingine huzidiwa na mgeni,ukiumwa ni juu yako kampuni haitokununulia hata panadol hawana program yoyote ile ya kumkumbuka mfanyakazi wao hakuna cha bima wala nini na kinachoomiza zaidi kuumwa kwako kuna effect moja kwa moja na mshahara wako maana unalipwa kulingana na masaa ya kazi sasa ukiumwa maana yake huna masaa hivyo huna mshahara wee uguaaaa ukipona ndio urudi kufanya kazi yaani pale wafanyakazi hawana thamani kabisaa
 
Mkuu anayekuibia sio customer care isitoshe customer.care ndio wanaokusaidia pale upatapo tatizo muda wowote ule labda nikudokeze hii kazi ikoje ni kazi ngumu mnoo imagine unakaa ndani ya ac kali kwa.masaa nane straight kazi yako ni moja kupokea simu na kutatua matatizo ya wateja at a very limited time na kwa siku ni lazima uwe na calls 180 and above na uwe na average talk time ya three minutes acha hapo uwe polite na utoe accurate info ontop of that ufate all regulation za kuhandle mteja vilevile usizidishe hata dakika muda wa launch ambao ni dakika arobain tu na ni hizo hizo huzitumie kwenda msalani,system ipo maalum ku monitor unafanya nini kwa wakati gani na kila mteja i mean kila call inakuwa na form maalum ambayo ni lazima uijaze hawajui habari ya wewe umechoka au la ni kazi kwenda mbele next time jaribu kutafakari kama ndio mwanao anafanya kazi hapo ungujisikiaje,NB ntaendelea

Mbona namba za customer care kampuni zote hazipokelewagi? Ni uhuni unafanyika.

Matatizo ya kweli hamtatuagi mfn pesa kupotea bila taarifa.

Na bado hao Erolink watawanyoosha hasa
 
Ile kazi ni ya kinyonyaji mnoooo vipengelee nilivyovitaja na vingine vingi ukifanikiwa ndio unapata above laki tatu ila kuna sharti moja la ajabu sana ili upate bonus ni lazima uwe na high performance ambayo wafanyakazi wengi wanajitaidi kufika ila ikatokea siku moja ukaumwa au ukapata dharura ya aina yoyote ile basi zile juhudi zako zote kazi bure utaambulia below laki tatu ile ofisi mfanyakazi mwenye mwezi mmoja na mwenye miaka nenda rudi wanalipwa sawa na mara nyingine huzidiwa na mgeni,ukiumwa ni juu yako kampuni haitokununulia hata panadol hawana program yoyote ile ya kumkumbuka mfanyakazi wao hakuna cha bima wala nini na kinachoomiza zaidi kuumwa kwako kuna effect moja kwa moja na mshahara wako maana unalipwa kulingana na masaa ya kazi sasa ukiumwa maana yake huna masaa hivyo huna mshahara wee uguaaaa ukipona ndio urudi kufanya kazi yaani pale wafanyakazi hawana thamani kabisaa
Hivi in a long run hawa wapokea simu huwa hawaathiriki,hamna maradhi yoyote wanayoyapata,wataalamu wa mionzi wanasemaje juu ya hili?
 
Wengi hupata matatizo mkuu hasa kiuno mgongo na masikio kuuma na kutoa maji hali zikiwa mbaya ndio hivyo wanaacha kazi kimyakimya nawafahamu wengi waliathirika
 
Back
Top Bottom