Wafanyakazi wa TPA watakiwa kushiriki maandamano ya kumpongeza Magufuli

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,241
2,000
WhatsApp Image 2017-06-16 at 15.38.39.jpeg
 

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
2,097
2,000
hayo maandamano yanaratibiwa na nani? je kama wakitokea watu kutaka kuandamana kwa lengo la kumpongeza lowasa kutokana na utulivu wake wa kisiasa na ukomavu wake pamoja na ustahamilivu alionao ingawa ana chambwa kila siku, maandamano hayo yataruhusiwa.... huu ndio mwanzo wa udikteta.....tuwe makini....hela zenyewe anazosema anadai wazungu bado hawajakubali kulipa mpaka majadiliano yafanyike.... sasa hizo pongezi za nini? kwani wakati mikataba hiyo sheria zake zinapitishwa bungeni yeye alikua wapi?
hii nchi ina waty wanafiki saaana kuliko hata kuzimu
 

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,394
2,000
Saa 12 kamili maandamano yanaanza. Ina maana mtu anayekaa say Kimara aamke saa kumi ili awahi. Jumamosi. Yaani umeamka saa 10 kila siku Monday to Friday na sasa Jumamosi yako ya kupumua japo kidogo wanaitaka pia ili kumpongeza mtu anayetimiza wajibu wake. Kazi kweli kweli!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom