Wafanyakazi wa TPA watakiwa kushiriki maandamano ya kumpongeza Magufuli

Ningelitamani nchi nzima ingelizizima kwa maandamano bila kujali itikadi rang,dini au ukanda.
Wafanyakazi wa serikali sio wenye uchungu pekee.
Watakaoshindwa kuudhulia futa kazi kabisa.
 
nahisi TPA kuna shida. Aidha viongozi wake ni watu wa kujikomba sana badala ya bidii. Nakumbuka menejiment ilishaomba rais aongezewe muda wa kutawala.
 
Jpm anaposemaga tumechazewa sana huwa namshangaa kwel, utafikiri yy kipindi hicho alikuwa nje ya nchi ndo amerejea nchini
 
Hao ni wasomi wa Tanzania eti .. Buhahahaha yan Tanzania unaweza dhania sio nchi ni kibanda cha Mganga wa Kienyeji
 
Ningelitamani nchi nzima ingelizizima kwa maandamano bila kujali itikadi rang,dini au ukanda.
Wafanyakazi wa serikali sio wenye uchungu pekee.
Watakaoshindwa kuudhulia futa kazi kabisa.
Tuliandama kuunga Azimio la Arusha lakini hatukuandamana kuunga Azimio la Zanzibar.
 
Mambo ya North Korea.

Maandamano ya kumpongeza rais mtu anatakiwa? Akiwa hakubaliani na rais je?
 
Watu kwa kijikomba, sasa imekuwa too much...

Mgema akisifiwa sana, tembo ulitia maji...

Wafanye kazi sio kutaka kufanya mambo ya ajabu ajabu...
 
Si maandamano yalizuiwa ama kwa serikali ni sawa ila kwa upinzani ni haramu?? Je intellijensia haijaona dalili za viashiria vya umwagaji damu???

upload_2017-6-17_10-35-3.jpeg
 
Ningelitamani nchi nzima ingelizizima kwa maandamano bila kujali itikadi rang,dini au ukanda.
Wafanyakazi wa serikali sio wenye uchungu pekee.
Watakaoshindwa kuudhulia futa kazi kabisa.
Afute kazi, wakati increment na fao lao la kujitoa umekula.
Kati ya raisi na mfanyakazi nani anatakiwa afutwe kazi?
Tungekuwa tumelipwa hizo trillion 110 hata mm ningeandamana lkn hii ya hewa.
Ni sawa na kuweka tooth stick mdomoni na kuwatambia watu umekula nyama wakati haujala
 
Back
Top Bottom