Wafanyakazi wa TPA watakiwa kushiriki maandamano ya kumpongeza Magufuli

nakumbuka UHURU , Tunaanza kupambana kupata UHURU WA KIUCHUMI; Hivi vitu vilikuwepo toka 1950-1961, Pressure hii wataleta mpunga wetu mapema
Hakuna kulala mpaka walete mpunga; Dunia nzima wanajua , ulimwengu unajua tunataka kuuaminisha ulimwengu juu ya dhuluma ya ACACIA
 
Nchi iko na Rais mmoja tu hii huo udouble standards sijui shule ulisomea nini aisee.
Double standard unaelewa maana yake au wwe ndio nkuulize shule ulisomea nni??? Huoni maandamano kwa upinzani yamekatzwa ila ya serikali yanaruhusiwa ssa kivp mnabagua haki
 
nakumbuka UHURU , Tunaanza kupambana kupata UHURU WA KIUCHUMI; Hivi vitu vilikuwepo toka 1950-1961, Pressure hii wataleta mpunga wetu mapema
Hakuna kulala mpaka walete mpunga; Dunia nzima wanajua , ulimwengu unajua tunataka kuuaminisha ulimwengu juu ya dhuluma ya ACACIA
Kwa sheria zipi??? Yaani mnajadiliana na wezi mnategemea wakulipe??? Hivi nchi tupo serious???
 
Nakumbuka wakati wa kuzindua ule mambo wa kukusanya mapato mtangazaji alikuwa anasema hawa vijana waliotengeza ni wazalendo na wanahitaji pongezi!
Rais akaja kumaind kama kwanini tuseme wanahitaji pongezi kwani si wamelipwa?

Sasa na yeye anapongezwa kwa lipi? Kwani hajalipwa mshahara?

Halafu tunampongeza kwa lipi wakati acacia wanakataa kama wao hawadaiwi?

Hizi akili Mungu atusaidie wabongo
 
VUGUVUGU LA KUDAI CHETU
WAFANYAKAZI WA BANDARI; MASHIRIKA RELI, WANAVYUO TUUNGANE TUMPE NGUVU RAISI JPM KAMA WAZEE WA DAR ES SALAAM WAMEWEZA KWANINI TPA WAWE NYUMA .
GO GO MPK CHENJI YA 100 TRILIONI ILETWE
 
SIku nikiona trillion 100 cash! Ntaandamana peke yangu kumpongeza
 
Hii nayo kiboko yaani hata maandamano ya kumpongeza mtu watu wanalazimishwa?
Mm ninavyojua kuandamana kumuunga mtu mkono hutokana na watu wenyewe kukubali hicho kilicho fanyika lkn haya ya kulazimisha? Mhm ni Tanzania pekee
 
Mtanisamehe kama nitakuwa nimeparamia mambo maana nilikuwa mbali na vyombo vya upanashaji habari na hivi sina taarifa yoyote juu ya jambo hili.

Maandamano ya namna hii sisi wengine tulikuwa watu wa kwanza kuonyesha nia ya kuwaalika watanzania waandamane.Waandamane wazima kwa wagonjwa.Waandamane waliokula na wenye njaa.Waandamane majeruhi wa Bodaboda.Waandamane wagonjwa wa Cancer kutoka kule Ocean Road.Waandamane wamama wajawazito wanaojingulia njiani sababu ya ukosefu wa magari ya kubebea wagonjwa.KatikaTukio hilo washiriki watoto wa shule wenye sare nadhifu na wale ambao kaputula na sketi zimetobolewa na mawe wanayokalia mashuleni.

Wengine tulitaka maandamano yawe na mwangwi mkubwa kwa kushiriki wagonjwa wa Ukimwi wanaodhoofika kwa kukosa lishe na dawa za kufubaza makali ya ugonjwa huo.Waandamane watoto wenye utapiamlo.Hapo hapo wasikosekane watu waliobeba maji-maziwa na kata zake bila kusahau mabango yenye picha zinazoonyesha visima vya matope yanakotoka maji hayo.

Watu waandamane na magunia ya mikaa ili dunia ione ni kwa namna gani "uchenjuaji" wa rasilimali zetu kinyemela unavyopelekea watu kushindwa kuwa na kipato cha maana hadi kuamua kuparamia misitu na hivi kuzalisha jangwa.

Maandamano hayo yawe ya nchi nzima tena kwa siku tena kwa siku nzima.Sehemu zingine yawe mbashara.Sasa maandamano yenye sura karibia na hii ndiyo yanayoandaliwa au ni ya namna gani?

Tafadhali tusifanye mizaha kwa mambo makubwa kiasi hicho. Maandamano hayo yameandaliwa na nani? Hivi maandamano ya kumpongeza Raisi kwa jambo zito kama hilo ni ya kuishia Ghala la Chakula? Kwa nini yasiishie Viwanja vya Ikulu? Maandamano kama haya yapaswa yapokelewe na Raisi mwenyewe.Magufuli ameleta kishindo duniani wananchi nao wanapaswa kufanya sawa na yeye au zaidi ya hapo maana sisi tu wengi.

Maandamano ya aina hii yapaswa yawe ya kihistoria kama sababu yenyewe ilivyo vya kihistoria! Hatuwezi kuhamasishwa kuandamana katika suala la kutuma ujumbe mkubwa kwa dunia kwa maandamano halafu maandamamo yenyewe yakazidiwa na ya UKAWA ya kumsindikiza Lowasa kwenda kuchukua fomu toka NEC yaliyoanzia Buguruni.

Hebu waandaaji wa tukio waje watuambie ni mwangi kiasi gani unatajarajiwa kusikika.Kama hakuna mwangi wa kutosha naushari waahirishe tukio hilo.Tuanze kuacha mambo ya mzaha katika mambo mazito.
 
m.jpg
 
TPA wanafanya kazi 24 hour a day sasa huo muda wa kuandamana wanautoa wapi? Magufuli atayapokea hayo maandamano? Natamani awapokee na kuwataka warudi kazini.

Vv
 
Back
Top Bottom