Wafanyakazi wa TPA watakiwa kushiriki maandamano ya kumpongeza Magufuli

Hata vipofu sasa watafunguka macho na kutambua kuwa tuna msanii tumemkabidhi kijiti.
f8c4a907ef7169da4126bf3d3a83965a.jpg
aa83a95f99eec9866c30b9c03a373b63.jpg
,yupi kati ya hao?
 
Management kama hii productivity/ufanisi ni zero kwani imeegamia siasa kuhakikisha kuendeleza uwepo wake.
 
Kweli utakuwa na virus kichwani, unakumbuka ulichokiandika mwanzo?


Hoja iliyoko mezani kwa ajili ya mjadala.Nimekujibu ili kukuonyesha kuwa hoja haipo kwa ajili ya matusi uliyokuwa umeyaanzisha.Sina desturi za kutukanana.Nina desturi ya kukabili hoja kwa hoja.Na ndicho nilichokuwa nimekifanya.
 
Mwanadam hasa mtanzania ni mtu hatar sana mnafiki sana sitaki kuamin ***** Bora situmiki kwa hii Government kujitoa ufaham kumekuwa kwa aina yake
 
Ni wapumbavu ndo wataandamana
Nchi yetu sote hii mtu ukileteta umungu mtu tutazalisha miungu wengine kila mtu hapa ana uwezo wa kuzalisha mungu mtu wa baadae
 
Sasa naona anaendekeza tabia alioifanya kutumia mtandao wa Tanroad kuingia ikulu wakiongozwa na mameneja wa mikoa
Sasa..ni..mwendo wa kutumia mashirika ya umma kufanya siasa
Juzi tumeona mteule pale railway akiomba awe rais wa maisha
 
Tanzania itapata maendeleo baada ya Watanzania kuacha Unafiki.....


Hata hao viongozi wa TPA naamini ktk mioyo yao hawamuungi mkono JPM... Ila kinachowaongoza ni unafiki tu
 
Hivi haya mambo hata tawala za nyuma yalikuepo au ni awamu hii tu!!!! Na kama ni awamu hii tu kwa nini iwe hivyo!!!! Vipi ni maagizo kutoka juu ili kuendelea kuwa HIT-MAKER au..utawala huu unanichanganya sana....nahisi kama nimezaliwa kipindi kibaya....!!!! Maandamano kwa ajili ya kumpongeza Rais ?? Kwa hiyo majukumu ya Rais ni yapi ambayo akiyafanya hatutaandamana! Ina maana hii ishu ameifanya kama extra job na haikuwa kwenye Sera zake???? Watanzania mnanichanganya
 
Kwani imebadilishwa toka siku ya usafi kuwa siku ya makinikia?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom