Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Wasumbufu sana hao, usiwakopeYaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Wababifu sana aseWasumbufu sana hao, usiwakope
Tukopeshe sisi wauza genge, ni walipaji wazuriYaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Sawa mkuuBadirisha mwandiko bro
Na mna ogopa madeniTukopeshe sisi wauza genge, ni walipaji wazuri
Muwe wawazi sasaPesa hazitoshi mkuu, tunajibana sana. Inafika muda unaamua tu kikubwa home wanakula basi, mambo ya madeni tutayamaliza taratibu.
Dah jau sanaDawa yao mtishie kwenda kwa mwajiri wake.
Kuna watu ni manunda sugu.Hata ukienda,achilia mbali kumtishia Unapoteza muda tu.Dawa yao mtishie kwenda kwa mwajiri wake.
Kabisa ase tuna rudishana nyumaBwashee huudhuriagi vikao vya kamati kuu ?
Kamwe usimkopeshe mtu pesa,,,, utajuta !
Mm kama kuna ndugu/jamaa ameniomba kiasi kadhaa nimkopeshe jibu ni hapana/sina !
Iikibidi nitampa kiasi kadhaa kulingana na uwezo wangu na nitamuambia sikudai chukua hio itakusaidia !!!!! Tena huyo ni mtu wa karibu sana kiasi kama ndugu hivi kutoa aibu ! Mtu back jibu ni sina!
Ahaha nitawaumiza ile mbayMaafisa wameshakunyoosha? Ngoja waongezewe pekeji watakulipa tu.
Shida unapo kuwa na shida na pesa yako hauipati kwa wakati kabisaKaka, hiyo ni tabia ya mtu naona, kuna watu huwa tunajali sana kuaminiwa yaani ukinikopesha lazima nijitajihidi kukupa kwa wakati.
NB: Mimi ni jobless tu wala reply yangu si kwa ajili ya kuwatetea wahusika.
Sure ilo nina ushahidiKuna watu ni manunda sugu.Hata ukienda,achilia mbali kumtishia Unapoteza muda tu.
Mtaumizana.Unadhani watakusubiri kiboya tu?Ahaha nitawaumiza ile mbay