Wafanyakazi wa serikali changamoto

Wafanyakazi wa serikali changamoto

Bwashee huudhuriagi vikao vya kamati kuu ?

Kamwe usimkopeshe mtu pesa,,,, utajuta !

Mm kama kuna ndugu/jamaa ameniomba kiasi kadhaa nimkopeshe jibu ni hapana/sina !

Iikibidi nitampa kiasi kadhaa kulingana na uwezo wangu na nitamuambia sikudai chukua hio itakusaidia !!!!! Tena huyo ni mtu wa karibu sana kiasi kama ndugu hivi kutoa aibu ! Mtu back jibu ni sina!
 
Kabisa ase tuna rudishana nyuma
 
Back
Top Bottom