Wafanyakazi wa Sahara Media Group wagoma wakidai stahiki zao

Ebu piga picha haraka haraka, kama huyu angekuwa ni m/kti wa mkoa wa Chadema ndio anakumbwa na masaibu haya si ingebidi aunge tu "Juhudi" apende asipende ili walau apewe muda wa kujipanga.
 
Kama ni uzalendo wafanyakazi wa Dialo wana uzalendo uliotukuka kuliko Polepole. Kufanya kazi kwa kipindi cha zaidi ya mwaka bila mshahara ni zaidi ya uzalendo!
 
Dialo ongea na MAGU akuchotee kwenye Bil 220 za mfuko wa korosho au kwenye fedha ya polepole aliyoenda nayo kichwani kwenye mapato ghafi.
 
Wakuu dialo kapotelea wapi,? Mbona wafanyakazi wake wanahaha hvyo?
inatakiwa wafanyakazi wote wasiende kazini kwa siku hata mbili, mtu inafikia unadai mshahara wa miezi ishirini unadhani nani anakulipa bado na TRA wanatakiwa kupewa chao, Tanesco, Maji,.... jiongezeni Meedia zipo nyingi tupa karata huko huwezi jua bahati yako
 
Ambacho amjui ni kwamba hawa walisimamishwa kazi tangu mwezi wa tatu wakaambiwa watapewa stahiki zao zote ndio mpaka leo wanazingushwa,wakandana kama hivi jamaa anawapoza kwa lakimoja moja anawambia baad wiki moja wanalipwa anakaidi makubaliano .
 
inatakiwa wafanyakazi wote wasiende kazini kwa siku hata mbili, mtu inafikia unadai mshahara wa miezi ishirini unadhani nani anakulipa bado na TRA wanatakiwa kupewa chao, Tanesco, Maji,.... jiongezeni Meedia zipo nyingi tupa karata huko huwezi jua bahati yako
Hahahaaaaa.....
 
yan hiyo kampuni wafanyakazi wake wanakopa hadi kero, kuna watu nilisoma nao wananipiga mizinga hadi kero kama vp wafanyakazi wafungue kesi tu mahakamani au waandamane hadi whitehouse na cha zaidi wacha waisome tu namba maana ndio waliishobokea sana kampeni za kunguru wa kijani

Ulisoma na mapuli eti
 
Media nyingi za bongo ni kajanja! Kuna nyingine hapo hapo Mwanza inaitwa lake FM (102.5) ni shida tupu! Watu wamejitolea mpka wamechoka! Anayelipwa ni program manager tu, the rest wanaambiwa wasubirie matangazo yakiwa mengi watafikiriwa! Ni zaidi ya miaka miwili!

Na nyie wanahabari acheni UNGESE , si muache? Au ndio vyeti vya kuungaunga? Mnaogopa mkiacha hamtapata nafasi sehemu zingine???

Dunia ya sasa hakuna kaz ya kujitolea! Kujotolea ni ufinyu wa MAWAZO! UZOMBI NA UNANGA WA HALI YA JUU
 
Yeah, wapo wanaolipwa kimya kimya, wakuu wa vitengo wanajilipa tu
Mbaya sana, kila nikiangalia star TV huwa nakumbuka thread za hao watu kutolipwa, anawadhalilisha halikadhalika na yeye pia.
 
Media Co hii ina mambo ya kidhalimu na hovyo sana. Tatizo lake kubwa liko hapa.

Ukabila na undugu

Kama ilivyo azam uislam na ipp uchaga, media hii ina usukuma sana. Na ndugu wa tajiri ndio wapo katika high levels. Hawa ndio wenye kuhodhi fedha na maamuzi. Hawa ni kama Ozone layer ya kumfikia tajiri.

Matokeo yake ni media yenye mfumo holela wa malipo. Kuna nyakati wafanyakazi wa visimbusi vyao walilipwa in advance miezi mi3, ikafuata miezi mi5 kavu. Utafanyaje na huna sauti. Watafanyaje wakati tajiri ni untouchable. Yupo jamaa yangu mmoja ni dj (tunakunywa nae sana mjini hapo) alidai mkataba na kuwaburuza CMA, kilichofuata ni Afisa wa CMA kupewa transfer to Mtwara.

Kimsingi ni kampuni inayoendeshwa kiholela na kinyonyaji sana. Ninashindwa kumuelewa tajiri, nimeshapata wasaa wa kukaa nae mezani japo mara mbili, he is a gentleman na very understanding with great exposure ya dunia. Ameishi na kusoma ulaya for years, ana ufaham wa corporate world lakini media zake ni kinyaa. Ziko vile vile, medias zake ni RTD. Ni vile tu afrika tuko sayari yetu wenyewe, kwa nchi za wenzetu, huyu hastahili hata kuwa mwenyekiti wa chama wa mtaa.
 
Hii media si ndio ilitumika kumpigia chapuo mkulu 2015 hadi akaagiza Diallo akumbukwe kwny mgao wa keki ya taifa? Naona mkulu mwenyewe kamsahau....kile kibwagizo....ni kwa ujinga waoo eh ccm mbele kwa mbeleeeeee!
mkulu hajamsahau, ipo siku. Huoni Ruge?
 
Aisee naona akina ivona kamuntu baruani muhuza, yahya mohamed, na mme wake ivona kamuntu raymond nyamwihura walisoma vizuri upepo ikabidi watimukie azam tv vinginevyo nao kusoma namba kunge wausu.
Hao uliowataja ni watanzania ukimtoa yahya mohammed?
 
Kumbe ni wawapi maana baruani ni muha wa kigoma, nyamwihura na ivona sinawakika vizuri ila naisi wanatokea kagera.
Wanaojiitaga Waha hua ni Warundi hilo jina ni la kirundi typical hao nyamwihura kama wanadai wanatoka Kagera possibly Ngara ni Wanyarwanda hata huyo Kamuntu ni Mnyarwanda kwa majina yakr tu hayo ukiyasikia na haswa kama ushawahi kaa mipakani i.e Kigoma na Kagera
 
Kwahyo wote wanaotokea kagera na kigoma sio raia wa tanzania?
 
Back
Top Bottom