Wafanyakazi wa Sahara Media Group wagoma wakidai stahiki zao

Hayo ni maigizo na kupoteza muda tu
Sheria ipo wazi kama muajiri ameshinda kukulipa ndani ya siku 30 kamshitaki Labour office ataitwa ajieleze,akishindwa kesi mali zitapigwa mnada watalipwa wadai
Kwenda na watoto kwa tajiri hakumtingishi wala kumshitua
 
Ambacho amjui ni kwamba hawa walisimamishwa kazi tangu mwezi wa tatu wakaambiwa watapewa stahiki zao zote ndio mpaka leo wanazingushwa,wakandana kama hivi jamaa anawapoza kwa lakimoja moja anawambia baad wiki moja wanalipwa anakaidi makubaliano .
waende CMA sasa
 
Back
Top Bottom