Wafanyakazi wa Sahara Media Group wagoma wakidai stahiki zao

Utajiri siri yake ngumu sana , wala si yeye peke yake ni karibu matajiri wote wana tabia hizi .

Huko kwenye chama wamejiegesha kulinda mali zao dhidi ya hatari kama hizi. Hata huyo mzee was wanyonge angalia actions zake dhidi ya wafanyakazi na watu wengine, kama kuna utu huo. Maisha si fair hata kidogo
Daa mkuu umenifungua macho kiasi.
 

Attachments

  • IMG-20181121-WA0031.jpg
    IMG-20181121-WA0031.jpg
    46 KB · Views: 30
kusema ukweli bora ata hawa walioamua kuoondoka ,huyo ndugu yangu kila siku anatupiga vizinga ,tunamwambia bora uache kazi ujue kwamba hauna kazi na kutafuta mishe nyingine za kufanya ,maana anadai mishahra miezi 20,itakua dialo kawaweka msukule walah.
 
Aisee, ndio maana Dotto Bulendu simuoni,
Nlipenda tuongee asubuhi.
Ila nadhani kuna watu anawalipa kimya kimya, kuna mtangazaji yupo nadhani tangu miaka ya 2000 hadi leo, sasa watangazaji wazur RFA na Kiss fm hasa wale foreigners nadhani waliondoka.
Anashusha hadhi ya media yake.
RIP Samadu, Zuberi, no justice on earth
 
Hao wafanyakazi wafanye mpango wa kubeba vifaa wakauze kila mtu apate chake ni muda mrefu sasa wanadai nafikiria hadi kwenye idara ya kazi walishaenda kushtaki sasa sijui kwa nini hawasikilizwi.Vunjeni kituo bebeni kila mnachoweza mkauze tu
 
Aisee, ndio maana Dotto Bulendu simuoni,
Nlipenda tuongee asubuhi.
Ila nadhani kuna watu anawalipa kimya kimya, kuna mtangazaji yupo nadhani tangu miaka ya 2000 hadi leo, sasa watangazaji wazur RFA na Kiss fm hasa wale foreigners nadhani waliondoka.
Anashusha hadhi ya media yake.
RIP Samadu, Zuberi, no justice on earth
Aliobaki nao wote ni chiep labor,hawana pa kwenda.
 
Kampuni ishafika decline stage ifungwe tu iki ngojea uchaguzi 2020 ila bado najiuliza kwani CCM hawakuwalipa kipindi cha kampeni kurusha mikutano live
Dialo alikua against John,
Sasa baada ya John kuteuliwa kua ndio mpeperusha Bendera ya kile chama basi Dialo ikabid ajitolee ili aweze kuaminiwa tena,
 
Laana aliyopigwa diallo kwa kushiriki uchafu 2015 si ya kitoto !
Watu walisema sana .tv kugeuka ya kampeni ya ccm kutaiua kibiashara na Matokeo ndio haya .Wasani wao tayari wako kwenye friji wabaridiii angalau wasioze
 
Back
Top Bottom