Wafanyakazi wa Sahara Media Group wagoma wakidai stahiki zao

Huwa ninajiuliza watu wengine mpaka mawaziri wakivurunda Rais anawatumbua,lakini kwa huyu bwana tapeli,muuwaji yeye hawamuoni?ukizingatia ni MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MWANZA?
Mupe muruke hyooo mzee

Ova
 
yan hiyo kampuni wafanyakazi wake wanakopa hadi kero, kuna watu nilisoma nao wananipiga mizinga hadi kero kama vp wafanyakazi wafungue kesi tu mahakamani au waandamane hadi whitehouse na cha zaidi wacha waisome tu namba maana ndio waliishobokea sana kampeni za kunguru wa kijani
 
Aisee naona akina ivona kamuntu baruani muhuza, yahya mohamed, na mme wake ivona kamuntu raymond nyamwihura walisoma vizuri upepo ikabidi watimukie azam tv vinginevyo nao kusoma namba kunge wausu.
 
yan hiyo kampuni wafanyakazi wake wanakopa hadi kero, kuna watu nilisoma nao wananipiga mizinga hadi kero kama vp wafanyakazi wafungue kesi tu mahakamani au waandamane hadi whitehouse na cha zaidi wacha waisome tu namba maana ndio waliishobokea sana kampeni za kunguru wa kijani
Wakopeshe tu, hamna anayejua kesho ila ukishindwa kuwakopesha usiwasimange
 
HAO NAO WAOGA KILA SIKU MARA WAGOME MARA WALALE NJE YA STUDIO
CHAKUCHANGAZA KESHO YAKE WANARUDI TENA KAZINI, SI WAENDE MAHAKAMANI??
 
Wakuu dialo kapotelea wapi,? Mbona wafanyakazi wake wanahaha hvyo?
Hii media si ndio ilitumika kumpigia chapuo mkulu 2015 hadi akaagiza Diallo akumbukwe kwny mgao wa keki ya taifa? Naona mkulu mwenyewe kamsahau....kile kibwagizo....ni kwa ujinga waoo eh ccm mbele kwa mbeleeeeee!
 
Ndo wajitambue yakuwa maisha ni kama kitenesi tu,Kipindi cha kampeni walisumbua sana hawa watangazaji
 
Hii ni jana baada ya wafanyakazi wake kwenda na familia zao ofisini kwaajili ya kudai madeni.ninachojiuliza ni kwamba bosi wake haitambui hii inshu au ni vipi.
aisee walivyokua wanatumika kumkejeli EL walijua jiwe atakua mtetezi wao!
 
Ili kulinda chama chako,kiwe kisafi lipa hawa wafanyakazi wako mishahara yao.bosi wako ambae ni Rais Magufuli,anasrma yeye ni raisi wa wawanyonge,iweje wewe unawanyanyasa wanyonge?

Wafanyakazi wako wanakufa kwa mawazo ya kukosa pesa,mfano mzuri ni Samadu Hasan,Zuberi Msabaha, John Ngayoma,James George,Jamaa wa Futuhi,wote wamekufa sababu ya stress za kutolipwa
mishahara,kwa nini hauna utu?

Jana pia umefatwa na wafanyakaz wako na familia zao kudai mishahara wewe huna habari,

TAFADHALI RAIS MAGUFULI
LIANGALIE HILI.
ni raisi wa wanyongwa!
 
Back
Top Bottom