Mkuu hawa wameachishwa kazi bila kulupwa stahic zao,na walioenda mahakamani huu ni mwaka wa tatu hakuna kinachoendeleaHAO NAO WAOGA KILA SIKU MARA WAGOME MARA WALALE NJE YA STUDIO
CHAKUCHANGAZA KESHO YAKE WANARUDI TENA KAZINI, SI WAENDE MAHAKAMANI??
KWANI CMA HAMNA HUKO??Mkuu hawa wameachishwa kazi bila kulupwa stahic zao,na walioenda mahakamani huu ni mwaka wa tatu hakuna kinachoendelea
Jamani!!! Halafu mkuu nakuja PMNa jamaa bado utamkuta pale malaika hotel/Ryans bay hotel yuko anakula zake bata na totoz,hana habari wala nini.
Huko nako wataanza kusoma namba muda si mrefu maana hakuna kazi tenaAisee naona akina ivona kamuntu baruani muhuza, yahya mohamed, na mme wake ivona kamuntu raymond nyamwihura walisoma vizuri upepo ikabidi watimukie azam tv vinginevyo nao kusoma namba kunge wausu.
Huyu jama ana dharau sana, ila niseme tu wafanyakazi nao ni shida, maana hata muda huu wapo wanaondesha vipindi kwenye media zakeNa jamaa bado utamkuta pale malaika hotel/Ryans bay hotel yuko anakula zake bata na totoz,hana habari wala nini.
Si waache kaziNaskia ni jeuri,alishawatamkia pesa anazo na hatawalipa ,wampeleke popote.
Hawa watu si waache kufanya kaz kwake Kwani lazima kufanya kaz kwa dialoHivi hakuna mtu wa kuweza kuwasaidia hawa watu wakalipwa stahiki zao ?watakufa waziache jamani wasaidieni hawa watu,kilichonisikitisha ni hao watoto wanafunzi jamani.
Inasikitisha sana! Wafanyakazi wake wanapita kipindi kigumu sana na hii ni kigezo tosha cha kumvua hicho cheo huko Ccm.Tuombe mungu ampe Diallo uwezo na moyo pia wa kuwalipa watu wake ili kukaa mbali na dhambi hii. Wote tuseme inshaaallaah
Hata kama wataacha ni lazima walipwe jasho laoHawa watu si waache kufanya kaz kwake Kwani lazima kufanya kaz kwa dialo
Aisee! Hivi hawa uliowataja, ni kweli wamekupa? Au?!..Ili kulinda chama chako,kiwe kisafi lipa hawa wafanyakazi wako mishahara yao.bosi wako ambae ni Rais Magufuli,anasrma yeye ni raisi wa wawanyonge,iweje wewe unawanyanyasa wanyonge?
Wafanyakazi wako wanakufa kwa mawazo ya kukosa pesa,mfano mzuri ni Samadu Hasan,Zuberi Msabaha, John Ngayoma,James George,Jamaa wa Futuhi,wote wamekufa sababu ya stress za kutolipwa
mishahara,kwa nini hauna utu?
Jana pia umefatwa na wafanyakaz wako na familia zao kudai mishahara wewe huna habari,
TAFADHALI RAIS MAGUFULI
LIANGALIE HILI.
Dogo hivi kipindi kile shule ulimaliza?Hawa watu si waache kufanya kaz kwake Kwani lazima kufanya kaz kwa dialo
Yeah, wapo wanaolipwa kimya kimya, wakuu wa vitengo wanajilipa tuAisee, ndio maana Dotto Bulendu simuoni,
Nlipenda tuongee asubuhi.
Ila nadhani kuna watu anawalipa kimya kimya, kuna mtangazaji yupo nadhani tangu miaka ya 2000 hadi leo, sasa watangazaji wazur RFA na Kiss fm hasa wale foreigners nadhani waliondoka.
Anashusha hadhi ya media yake.
RIP Samadu, Zuberi, no justice on earth
Mh. Mavunde akisoma hapa atanisamehe tu with but with all due respect mimi namuonaga anavaa kibrazamen tu visuti vya kubanabana,miwani kubwa kubwa kama za wasanii lkn inapokuja kwny masuala ya ajira na vijana sioni kama ana msaada wowote ule.Hivi Antone Mavunde kazi yake nini? Unashindwa kweli kuwasaidia hawa watu? Kuna vijana wengine pia ni mizigo tu.