IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 748
- 771
Wafanyakazi wa kiwanda Cha chai Cha luponde tea estates kilichopo mkoani njombe waiomba serikali ingilie Kati kufuatia mgogoro uliopo Kati yao na mwajili.hii Ni kutokana na malimbikizo ya mishahara na michango yao ya nssf kutopelekwa tangi mwaka 2019.hivyo tangia tarehe moja mwezi huu wamegoma kufanya kazi kushinikiza kilipwa stahiki zao