Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,359
- 2,389
Kwani hawamo humu?
Kwani hawajui nani walimpa fedha kwa viroba?
Kwani hawajui lini walivunja rekodi ya kuchukua fedha nyingi BOT na pia rekodi ya kufanya withdrawal kubwa ya caah ambayo hawataifanya tena maishani mwao
Hakuna shujaa hata mmoja wa kutuambia? Wamepigwa ganzi!!
Walipata mgao?
Wananchi wanasumbuka hivi wao wamepiga kimya!!
Mungu yupo na anatenda!!