Wafanyakazi Star times acheni wizi!!

Wafanyakazi Star times acheni wizi!!

Hata kama,kwa nini wauze 100%?? Kama kanunua Tshs 5000/ kwa star media yeye ndo anauza kwa 10,000/= ? Hesabu za wapi hizi?
Mimi baada ya kukataa kulipa 10,000/= hapo msimbazi kuna mdada alinivuta pembeni ninunue kwa 5,000/ but nilikua nimekasilika nikaondoka kwa hasira baada ya kuona star time escrow account inaanza kuumiza walala hoi kama mimi!



Maadili yameporomoka sn Siku Hizi Na kitu ambacho Star media wameshindwa ni kulisimamia soko la bidhaa zao! Yani wao wamejifungia makao makuu tu Na kwenye matawi Yao Lkn mambo wanayofanya mawakala hawajui kabisa ndio maana unaona bei zao ziko hazieleweki. Na mwisho wake soko Lao litakufa!
 
Back
Top Bottom