Mangungu
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 2,404
- 3,061
Jana nilipita kariakoo ofisi za star time,shida yangu ilikua ni kununua remote ya deck ya star times!!
Nilipouliza bei nikaambiwa ni Tshs 10,000/=
Kuna jirani yangu alikua amenunua juzi pale tbc,ofisi za star times bamaga kwa Tshs 5,000/= tu
Nilipouliza kwa nini inakua Tshs 10,000/=badala ya Tshs 5,000/=?? Aliniambia eti gharama za ufundi!!
Jamani management ya star time mnajua kwamba staff wenu wanakimbiza wateja kwa tamaa zao???