Wafanyakazi Sahara Media Group wamuandikia Rais Magufuli barua ya wazi

Na alivyo mpenda sifa kujifanya mtetezi wa wanyonge anaweza kufungua mfomo na akswapa maburungutu ya pesa wakati report ya CAG kainyamazia kabisa.
 
Pole yao ila tulipofikia ni pabaya sana kuamini mtu mmoja anaweza kutusaidia badala ya taasisi,Kama mahakama ilishatoa hukumu hatua inayofuata ni ipi?
 
Hivi Mzee Dialo hana miradi mbadala zaidi ya Media, kama Mzee Mengi?
 
Tuwasaidie kupata ela zenu afu mje mtumie kalamu kututukana serikali. No way out!...

Huyo Nyanda kila siku anaita wapinzani kutushughulikia leo anataka msaada kwetu. Hii dunia kweli kuna vichaa
 
...Endeleeni Kupambana ndugu. Msikate tamaa. Haki ya Mtu haipotei, inacheleweshwa tu!
Hivi hao wenzenu wanaondelea kudunda mzigo hapo hawaoni mnavyoendelea kuumia? Wanawasaidiaje? Wanangoja mpaka na wao yawakute?
Ama tayari mmeishakuwa makundi mawili tofauti ya wenye ajira na waliokwishapigwa kibuti...ili mwenye mali aendelee kuwatawala kwa mtindo wa 'Gawanya Utawale'
 
Sizan kama watasikilizwa maana mwakani ni uchaguzi na hichi kituo ndicho kilikua kinalusha matangazo ya kampeni moja kwa moja....atawasikiliz ila kwa muda huu wapambane na hali zao
 
Wanyooshwe kweli kweli,nasema wanyooshwe kweli kweli.
Unapofanya Kazi kwa kada kama huyo unategemea nini zaidi ya kudhulumiwa?
Yeye ameshajiona ni untouchable.
Watangazaji waliopo kazini hapo Sahara media watie maji maana wenzao tayari wameshanyolewa!
 
Pale nilipolipia continental na kifurushi kinaingia mwezi sasa ndipo nikajua hiyo kampuni imejifia.

Kumbuka nimelipia BUKU!
 
Kwani biashara ya media ngumu sana au tatizo nini hasa? Walipwe madai kama ni stahili zao halali inauma sana.
 
Bunge letu tukufu linaloongozwa na Ayubu kutoka kongwa lipitishe azimio la kutofanya kazi na wafanyakazi wa Sahara Media kwa kumdhalilisha Kada wa Ccm "Antonia"
 
Hivi mapato ya SAHARA MEDIA GROUP yanatokana na nini?.
Kuuza airtime!
Wanaigawa airtime into several cateogies;
Peak listening time
Moderate listening time
Low listening time
Pia kuna Pre /post news bulletin

So ukitaka kipindi au insertion ya Tangazo utalipa kwa rate ambazo zimewekwa katika category hy ya muda.

Kwa kifupi they make money kiasi cha kutosha. Imagine insertion ya Tangazo 1 la sec 60 kwa pre bulletin insertion you pay not less than 1M per insertion unaweza kuta matangazo yapo 5 hadi 6 katika wakati huo.
 
Back
Top Bottom