Wafanyakazi Sahara Media Group wamuandikia Rais Magufuli barua ya wazi

Wambura mtani yupo?
Yupo, ataenda wapi Ex- polisi wa watu, alifukuzwa u polisi, hapo hana hata elimu ya utangazaji anafanyia uzoefu tu. Kwa kifupi hana vyeti vya kumfanya ahame hapo. Siku hizi yeye ndie reporter wa karibia kila kipindi
:D:D:D:D wenye vyeti vyao walishasepa
 
...Endeleeni Kupambana ndugu. Msikate tamaa. Haki ya Mtu haipotei, inacheleweshwa tu!
Hivi hao wenzenu wanaondelea kudunda mzigo hapo hawaoni mnavyoendelea kuumia? Wanawasaidiaje? Wanangoja mpaka na wao yawakute?
Ama tayari mmeishakuwa makundi mawili tofauti ya wenye ajira na waliokwishapigwa kibuti...ili mwenye mali aendelee kuwatawala kwa mtindo wa 'Gawanya Utawale'
Hao wanaendelea kufanya kazi bila ya malipo, siku yakiwashinda nao wataungana na wenzao!
 
Hii kampuni itafilksiaka siku sio nyingi.
Naona rfa wanaanza kupoteza ubora
 
Hii kampuni itafilksiaka siku sio nyingi.
Naona rfa wanaanza kupoteza ubora
Sasa hivi naona decoder zao watu wanazitumia kupata channel kama 40 hivi za bure! Dah, mtu unatamba na PhD ya Business Administration na unashindwa kuendesha biashara yako?
 
Poleni sana,nawahakikishieni shida yenu itatuliwa,rais wetu ni mtu Wa watu, na pia ni msikivu kwa mambo kama haya .but nimeguswa sana.
 
Kuuza airtime!
Wanaigawa airtime into several cateogies;
Peak listening time
Moderate listening time
Low listening time
Pia kuna Pre /post news bulletin

So ukitaka kipindi au insertion ya Tangazo utalipa kwa rate ambazo zimewekwa katika category hy ya muda.

Kwa kifupi they make money kiasi cha kutosha. Imagine insertion ya Tangazo 1 la sec 60 kwa pre bulletin insertion you pay not less than 1M per insertion unaweza kuta matangazo yapo 5 hadi 6 katika wakati huo.
Mkuu gharama gizo ni kwa siku au mwezi? Fafanua baadhi hua hatujui gharama za matangazo kwenye radio au TV hebu tuweke hapa huaje hasa?
 
kila mtenda wema atakumbukwa kwa wema wake.....
naimba tuu.......
tena nafunga na kuomba Mwenyeezi Mungu awachome zaidi hapa hapa ulimwenguni ............
 
Back
Top Bottom