Wakuu ule Mwendelezo wa Wafanyabiashara Nchini kugomea Mashine za utoaji risiti EFD,Leo Unafanyika katika Mji wa Moshi.Pia wanataka Kesi iliyofunguliwa dhidi ya Mwenyekiti wao Taifa ifutwe.
Tokea Asubuhi Maduka hayajafunguliwa Mpaka Muda Huu Tofauti na siku Nyingine.
Kuna Taarifa Za Mikoa Mingine nako Wafanyabiashara wamegoma.
Hata dar leo kuna mgomo
Umesahau kuwa aliye na kesi ni mchaga?
mimi nashauri serikali wamfunge huyu jamaa tuone kama watafunga biashara kila siku.
Tangu Mwigulu aingie wizara ya fedha amesababisha migogoro na wafanyabiashara,nashauri aondolewe wizarani na huyu Mkiti aachiwe guru????. Halafu eti Mwigulu anataka urais! Pambaf.
Wafunge tu Lakin mwisho wa Mwezi nataka kodi yangu Ya frem
Ni tanzania pekee wafanya biashara wanakwepa kodi Kwa kisingizio cha EFD
Ni kweli mkuu wamegoma ila ni wapuuzi tu.Ni sawa ila maduka yao hufungua SAA mbili ckuzote maana huwa wanafanya usafi wa ndani ya duka kwanza na nje alafu ndio wanafungua jaribu cku moja kwenda pale moshi stand asubuh ndio utathibitisha
Tusıunge mkono wahuni hawa na wahujumu uchumi.Tuwaandame mafisadi wa kısiasa na hawa wafanyabiashara wakwepa kodi.Hoja zao hazina mashiko.Wanachukua bıdhaa nyngı fekı na kuzırundika kwenye soko letu na kutuuzia bei kubwa.Wanatengeneza faida kubwa kwa kuuza bei zisizostahli kwa bıdhaa na hudumu.Hela isıyolipa kodi nı chafu sawa na zile za Escrow.Hiı ınasababısha gharama za maısha kupanda na kuathirı wasıohusıka na waadılıfu.Pango la nyumba na frames lipo juu kuliko popote Afrika mashariki sio kwa sbbu Tz tuna uhaba wa nyumba wala ardhi bali tatizo n hawa wafanyabıashara ambao wako tayari kulipa gharama yoyote huku wakijua watafdia kwa kukwepa kodi na kuuza bidhaa kwa bei kubwa.Tusıwaunge mkono katu.

wachaga moshi wagome KUFANYA BIASHARA? Wakigoma najiondoa jamii forums naapa.Migomo ya kufunga biashara ni kwa ajili ya vikabila visivyojitambua vya mikoa mingine visivyojua maana ya biashara ni nini.Moshi wagome chezea wachaga wewe huwajui.
Ulishawahi sikia hata maandamano ya fujo moshi? Hawataki kuharibu biashara maandamano yote ya fujo ni kwa makabila mengine.Mwanza kwa wasukuma,dar kwa wazaramo,Arusha kwa wamasai na wameru,KIGOMA kwa waha,mbeya kwa wanyakyusa,Iringa kwa wahehe n.k sio moshi.
Ni kweli mkuu wamegoma ila ni wapuuzi tu.