Bado asubuh sanaWakuu ule Mwendelezo wa Wafanyabiashara Nchini kugomea Mashine za utoaji risiti EFD,Leo Unafanyika katika Mji wa Moshi.
Tokea Asubuhi Maduka hayajafunguliwa Mpaka Muda Huu Tofauti na siku Nyingine.
Wakuu ule Mwendelezo wa Wafanyabiashara Nchini kugomea Mashine za utoaji risiti EFD,Leo Unafanyika katika Mji wa Moshi.
Tokea Asubuhi Maduka hayajafunguliwa Mpaka Muda Huu Tofauti na siku Nyingine.
Chalii angu huo mgomo ni nchi nzima na kisa ni kesi waliyofungua serekali dhidi ya mwenyekiti wa wafanyabiashara na mgomo utakuwa kila siku ya kesi hadi siku wafute kesi au ifike mwisho
Moshi maduka hufunguliwa kuanzia saa 2:30 mpaka saa 3 ..... sasa wewe saa 1:42 hii inakuwaje kuna mgomo
Tangu Mwigulu aingie wizara ya fedha amesababisha migogoro na wafanyabiashara,nashauri aondolewe wizarani na huyu Mkiti aachiwe guru. Halafu eti Mwigulu anataka urais! Pambaf.mimi nashauri serikali wamfunge huyu jamaa tuone kama watafunga biashara kila siku.
wakuu ule mwendelezo wa wafanyabiashara nchini kugomea mashine za utoaji risiti efd,leo unafanyika katika mji wa moshi.
Tokea asubuhi maduka hayajafunguliwa mpaka muda huu tofauti na siku nyingine.
Wakuu ule Mwendelezo wa Wafanyabiashara Nchini kugomea Mashine za utoaji risiti EFD,Leo Unafanyika katika Mji wa Moshi.
Tokea Asubuhi Maduka hayajafunguliwa Mpaka Muda Huu Tofauti na siku Nyingine.
Wakuu ule Mwendelezo wa Wafanyabiashara Nchini kugomea Mashine za utoaji risiti EFD,Leo Unafanyika katika Mji wa Moshi.
Tokea Asubuhi Maduka hayajafunguliwa Mpaka Muda Huu Tofauti na siku Nyingine.
Moshi maduka hufunguliwa kuanzia saa 2:30 mpaka saa 3 ..... sasa wewe saa 1:42 hii inakuwaje kuna mgomo
Unaisemea Moshi ipi?Moshi maduka hufunguliwa kuanzia saa 2:30 mpaka saa 3 ..... sasa wewe saa 1:42 hii inakuwaje kuna mgomo
Serikali hii imezidi ulegevu.Hawa watu wanatakiwa kutandikwa viboko na si kuwalealea kijinga.Hawana hoja ya mşingi na wamezoea kukwepo kodi huku wakituumiza walajı kwa bei kubwa za bidhaa na huduma zao.Nchi wafanyabiashara wengi wanakwepa kulipa kodi stahiki na sasa inaonekana kuzoeleka na kujiona hawapaswi.Wafanyakazi wanabanwa kodi na wananchi tunauziwa bıdhaa na huduma kwa bei kubwa ikıamınika kuwa sehemu itakuwa kodi.Hawa jamaa ni wahunı na majambazi sawa na mafisadi wa kısıasa, tusiwaunge mkono kabisa.
Atiiiii wachaga Moshi wamegoma mmnh ndio nasikia Leo hii