Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
hypocrisy to its highest level. wapinzani ndio wanaunga mkono kuvunja sheria za nchi? wanataka kutawala nchi isiyofuata sheria? Wafanye shughuli zao kwa mujiu wa sheria, basi waanchane na vyama. mlinzi wao siyo vyama vya Siasa, hata chama tawala, bali ni sheria za nchi tu, basi.Kuna dalili kubwa sana za wafanyabiashara kujijenga zaidi upinzani baada ya sakata hili la sukari kuonyesha wazi kuwa serikali sio rafiki kamwe na hao wajasiriamali kwa uwazulia mambo na kuwa dharirisha kwenye jamii inaonyesha wanarudi nyuka kule wapokuwa wakiitwa WANYANYAJI, MAKABAILA, WALANGUZI , MABEPARI, na vitisho vingi