Wafanyabiashara wanaanza kurudi tena upinzani

Wafanyabiashara wanaanza kurudi tena upinzani

Kuna dalili kubwa sana za wafanyabiashara kujijenga zaidi upinzani baada ya sakata hili la sukari kuonyesha wazi kuwa serikali sio rafiki kamwe na hao wajasiriamali kwa uwazulia mambo na kuwa dharirisha kwenye jamii inaonyesha wanarudi nyuka kule wapokuwa wakiitwa WANYANYAJI, MAKABAILA, WALANGUZI , MABEPARI, na vitisho vingi
Hii ni heri wakichijichekecha. Mwisho wake tutajua nani ni wenzetu.
 
Kuna dalili kubwa sana za wafanyabiashara kujijenga zaidi upinzani baada ya sakata hili la sukari kuonyesha wazi kuwa serikali sio rafiki kamwe na hao wajasiriamali kwa uwazulia mambo na kuwa dharirisha kwenye jamii inaonyesha wanarudi nyuka kule wapokuwa wakiitwa WANYANYAJI, MAKABAILA, WALANGUZI , MABEPARI, na vitisho vingi
Hakuna mfanya biashara anayeipenda cccmm ila wanalazimishwa kwa kuwekewa mazingira ya kuwalazimisha, angalia sheria za makodi ni shida, kufanya biashara tz ni ngumu angalia riba ya b,k 16% na binafsi 20-22% hio biashara itafanyikaje? labda biashara haramu.na ndio maana wanakwepa kodi, ukiwabana kwenye kodi lazima wafilisike.
 
Lowassa anahusiana na hii mada kwa sababu ni mmoja wa wafanyabiashara mafisadi waliokuwa CCM ambao waliamua kuwahi kiti cha mbele cha CHADEMA mapema baada ya kunusa kama kutakuwa na hali mbaya ndani ya CCM baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Hivi sukari aliyoficha haijakamatwa tu?
 
Acha wahame wananchi wa vijijini tupo sana na ccm yetu kufa na kuzikana
 
Hivi Rostam Aziz alisha fukuzwa ccm au bado ni mwanachama mwaminifu kama Chenge?
 
Kwani Lowassa kuwahi na kukaa kiti cha mbele cha nyumba ya CHADEMA ina maana He's still alive?

Nimesema, mtu yoyote akilitaja jina la Lowassa, walinzi wake wanakuja mbio kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu. Are you the one?

Lowassa is finished!
Mkuu Msigwa aliwahi kusema wanaomuunga mkono wote Lowassa wakapimwe akili,sasa nashangaa unahangaika na watu ambao wamesajiliwa pale milembe.
 
Hivi Rostam Aziz alisha fukuzwa ccm au bado ni mwanachama mwaminifu kama Chenge?
Ni mwanachama muaminifu wa fisadi mwenzake lowassa,yupo CCM kimwili ila ila kiroho yupo CDM chama cha kutetea mafisadi na majangili kama lowassa.
 
Maneno ya kusema lowassa ni fisadi kwa sasa ni out of fashion.maana toka ameanza kusemwa sio leo,rais wa serikali ya 4 aliliskia,rais wa awamu ya tano amelisikia nae na vyombo vyote vya dola wamesika.mbona hawamkamati ili ashitakiwe kwa ufisadi aliofanya?tuna polisi wasomi,wanasheria wa waserikali wasomi,takukuru wasomi na rais msomi wote wako kimya,sembuse wewe?
Lowassa ni fisadi kuanzia kichwani hadi miguuni,na wewe siyo kosa lako umeisha pokea imprest uje kumtetea lakini umechelewa Dunia mzima inajua Lowassa ni fisadi na jangiri kubwa.
 
Unapokuwa na kikosi cha aina hii cha kukulinda na kukutetea kwa hoja za nguvu haina maana kuwa wewe ni mtawala wa nchi!

From here;
1.jpg

To here;
mbowe_Red%2BBrigade.jpg

DSC_0037.jpg

Hawa kwa sasa ndiyo walinzi wa Lowassa!

Lowassa is finished!
Hao makomandoo wa lowasa waliwafanya hta polic waanze kujijambia had wakaanza kuleta vikwazo.

Ila twende kwenye point maana hta post haijagusia chochote kuhusu lowasa ila wananzengwe wameisha anza kumtaja..... duuuhhhhhhh huyu mzee ananyota cjui ya ainagani!!!!!! he is no body lkn jinalake kunawatu wakilisikia matumbo yao yanaunguruma maana wanakumbukia mikiki yake ya kwenye campain.
 
Lowassa anahusiana na hii mada kwa sababu ni mmoja wa wafanyabiashara mafisadi waliokuwa CCM ambao waliamua kuwahi kiti cha mbele cha CHADEMA mapema baada ya kunusa kama kutakuwa na hali mbaya ndani ya CCM baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Only the court of law can pronounce someone guilty! Hebu tusaidie ni mahkama gani ilyowaipronounce kuwa lowasa is Fisad?

Angekuwa CCM had leo naic mtukama nyie TCRA ingedeal sana na nyie. But coz hii serkal inaendeshwa kisiasa nasikia sikuizi mnalipwa kuemphasize kuwa Lowasa fisadi. Yani hata kama post haimuusu utashangaa from nowhere lowasa fisadi ukiwauliza ushahd upowapi et Silaa ndye alisema.
 
Unapokuwa na kikosi cha aina hii cha kukulinda na kukutetea kwa hoja za nguvu haina maana kuwa wewe ni mtawala wa nchi!

From here;
1.jpg

To here;
mbowe_Red%2BBrigade.jpg

DSC_0037.jpg

Hawa kwa sasa ndiyo walinzi wa Lowassa!

Lowassa is finished!
Hawana lolote hawa kuvaa miwani ya kuchomea vyuma haina maana wana lolote , ngoja niwaitie mgambo wa jiji awape adabu yao nyyyoooooooooo !
 
Kuna dalili kubwa sana za wafanyabiashara kujijenga zaidi upinzani baada ya sakata hili la sukari kuonyesha wazi kuwa serikali sio rafiki kamwe na hao wajasiriamali kwa uwazulia mambo na kuwa dharirisha kwenye jamii inaonyesha wanarudi nyuka kule wapokuwa wakiitwa WANYANYAJI, MAKABAILA, WALANGUZI , MABEPARI, na vitisho vingi
takwimuul? ushahidi?
 
Ayaaa! Watakuwa wamekasirika ni kweli ila wame aibishwa lakini sasa wakihama na wale jamaa ule mkutano wa juni zile bil.2 wata zipataje sijui hata itakuwaje dah kwani vyama havina desturi ya kuchangiana na maana serikalini wamekaza nati.
 
Kwani Lowassa kuwahi na kukaa kiti cha mbele cha nyumba ya CHADEMA ina maana He's still alive?

Nimesema, mtu yoyote akilitaja jina la Lowassa, walinzi wake wanakuja mbio kumtetea kwa kutumia hoja za nguvu. Are you the one?

Lowassa is finished!
Unachokiandikaga hapa always is contrary na unachokiamini.
Conscience can prove that..

Usitumie nguvu nyingi kuangusha mbuyu kwa mkono, utaumia wewe mwenyewe.

Think broadly acha kutumika na kuamuliwa cha kufikiri.
 
Back
Top Bottom