Wafanyabiashara wagoma nchi nzima

Wafanyabiashara wagoma nchi nzima

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Wafanyabiashara leo tarehe 27 wamegoma nchi nzima kwa madai ya kutaka kukutana na serikali TRA kujadiliana njia bora zaidi ya kulipa kodi tofauti na ilivyo sasa ambapo wafanyabiashara wanakandamizwa na sheria mpya ya kodi ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Waailete za kuleta, janja ya kutaka kwepa kodi hakuna sasa. Hela inahitajika, uchaguzi umekaribia
 
Mgomo huo ni endelevu hadi serikali itakapo toa majibu juu ya efd na muafaka wa mwenyekiti wa wafanyabiasha bwana Minja aliye nyimwa mdhama na kurudishwa lumande jana
 
Acha wagome hatuna shida nao mbona shambani nafaka kibao.
 
Mlipakodi umenena sana...yule minja anamakosa gani mpaka wamnyme dhamana??,hivi nikiwa kiongozi wa kikundi fulani mana yake mi ndye mwny kugoma au mi ni microfone ya walowengi tu??inaumaa sana...
 
Waailete za kuleta, janja ya kutaka kwepa kodi hakuna sasa. Hela inahitajika, uchaguzi umekaribia

Tutashawishi watu wainyeme kura ccm huu ni mwaka uchaguzi hatuwezi kukubali tunyanyasike ndani ya nchi yetu
 
Mbona mimi niko kazini; saa saba nilipata chakuwa kwenye hotel iliyojirani na ofisini kwangu? Au wafanyabiashara ni watu gani kama mimi na huyo mwenye hotel hatupo? Naona na mbele yangu Duka la nguo, Duka la vifaa vya maofisni, Mini grocery yote yako wazi....na hao siyo wafanyabiashara?
 
Wanataka kukwepa kodi hawana lolote..hii nchi inaendeshwa kwa sheria na si vinginevyo
 
Mbona mimi niko kazini; saa saba nilipata chakuwa kwenye hotel iliyojirani na ofisini kwangu? Au wafanyabiashara ni watu gani kama mimi na huyo mwenye hotel hatupo? Naona na mbele yangu Duka la nguo, Duka la vifaa vya maofisni, Mini grocery yote yako wazi....na hao siyo wafanyabiashara?

Mkuu sio wote wameitikia woto ila 80% wamefunga fremu za duka
 
Mbona mimi niko kazini; saa saba nilipata chakuwa kwenye hotel iliyojirani na ofisini kwangu? Au wafanyabiashara ni watu gani kama mimi na huyo mwenye hotel hatupo? Naona na mbele yangu Duka la nguo, Duka la vifaa vya maofisni, Mini grocery yote yako wazi....na hao siyo wafanyabiashara?

Kama hoteli ni fisadi Lowassa utagomaje wakati wew haulipi kodi,Matako wewe
 
Wafanyabiashara leo tarehe 27 wamegoma nchi nzima kwa madai ya kutaka kukutana na serikali TRA kujadiliana njia bora zaidi ya kulipa kodi tofauti na ilivyo sasa ambapo wafanyabiashara wanakandamizwa na sheria mpya ya kodi ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

He! Hata Bar?
 
Ss wafanyabiashara nia yetu ni kukaa na serekali meza moja tupange njia nzuri zaidi ya ulipaji kodi wa haki sasa kuna ubaya gani kama nia ni kukaa na wafanyakazi wetu tuliyowajiri wenyewe
 
Nji ni mweupe kabisa,maduka na supermarket zote zimefungwa leo ni siku ya pili,

Kisa ni mgogoro kati ya TRA na wafanyabiashara mjini hapa.

Hakuna duka lolote lililoko wazi isipokuwa soko kwa wale wanaohitaji mboga.
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Kwa serikali hii ya kifisadi ni sawa kabisa. Kodi zenyewe akina kikwete wanazigawa kwa wanaccm km hazina mwenyewe. Nilikuwa natafuta namna wafanyakazi tunavoweza kugoma kulipa kodi. Pesa zetu za kodi viongozi wa ccm wamegawana na kuzificha uswiss
 
Wanaoafiki waseme ndiyoooo. Huu upigaji Wa kura ni wakipumbavu sana, sheria za hovyo zote zinapita kwa upumbavu wa ccm

nafikiri waliosema ndiyo wameshinda.......kitendo cha kusema tu unafikiri manake hauna uhakika na kile unachokisema.
 
Back
Top Bottom