Wafanyabiashara wagoma nchi nzima

Wafanyabiashara wagoma nchi nzima

tunahitaji kiongozi ambaye atakuwa jirani sana na wananchi kilichopo hapa ni taarifa nzuri iliyopambwa kwa maua
mengi kwelianauju
 
Serekali lazima ikae na kuwasikiliza wafanyabiashara hawa la sivyo uchumi wa nchi utaendelea kudidimia tu!
Nimepita maeneo mengi ya jiji la dar biashara nyingi zimefungwa raia wanapata shida ya kufanya manunuzi yao bila sababu za msingi huu ni wehu.
 
Wafanya biashara wengi wazazi wao wanaishi vijijini na ss wafanya biashara ndio tunawatunza ndugu zetu walioko vijijini kwa hiyo kama wafanyakazi wetu tuliyowaajiri kama watakataa kukaa na sisi meza moja ili kupata suluhu ya hili tatizo lzm tutawafukuza kazi mwezi wa kumi tena tutawashawishi na wazazi wetu wawanyime kura alafu tuone mtakula wapi
 
Mkuu sio wote wameitikia woto ila 80% wamefunga fremu za duka

Kumbe wanaogoma ni wachuuzi maana hata kina Mengi, Manji, Barharesa, Mimi ni wafanyabishara lakini hatuko kwenye mgomo. Manaposema wafanyabishara wote wamegoma mnakuwa hamjatenda haki kwa wengineo ambao hatuna tatizo na mashine za TRA kwa sababu hatuna cha kuficha.

Kama hoteli ni fisadi Lowassa utagomaje wakati wew haulipi kodi,Matako wewe
Tukana uwezavyo lakini kodi ni lazima kwa maendeleo na ustawi wa taifa letu la Tanzania. Ni suala la wakati tuu lazima sheria za Nchi zifuatwe. Umoja wenu ungekuwa na maana kama mngepenyeza ushawishi wakati ule sheria ya EFD Machine inatungwa lakini siyo sasa
 
Kumbe wanaogoma ni wachuuzi maana hata kina Mengi, Manji, Barharesa, Mimi ni wafanyabishara lakini hatuko kwenye mgomo. Manaposema wafanyabishara wote wamegoma mnakuwa hamjatenda haki kwa wengineo ambao hatuna tatizo na mashine za TRA kwa sababu hatuna cha kuficha.

Tukana uwezavyo lakini kodi ni lazima kwa maendeleo na ustawi wa taifa letu la Tanzania. Ni suala la wakati tuu lazima sheria za Nchi zifuatwe. Umoja wenu ungekuwa na maana kama mngepenyeza ushawishi wakati ule sheria ya EFD Machine inatungwa lakini siyo sasa

Wakati sheria inapelekwa bungeni wadau hatukushikisha kabisa
 
Mkuu sio wote wameitikia woto ila 80% wamefunga fremu za duka

Wakati sheria inapelekwa bungeni wadau hatukushikisha kabisa

Anzeni ushawishi "lobbying" ili ifanyiwe marekebisho. Lakini lendila biashara ya kuuza kuku zilizookwa pale Nairobi na Mtu mwenye duka Kariako nani mfanya biashara mkubwa? kwa nini yule muuza kuku na kababu pale Nairobi atumia machine ya kodi ya kutolea risiti ninyi wenye maduka ya Jumla kariakoo msitumie machine za TRA?
 
Last edited by a moderator:
Shinikizo ili Lowasa asitemwe na CCM ................................ mwaka huu CCM wanalo!!
 
nilishasema kuwa CCM ni janga na bado huu mwanzo tu, safari ijayo walimu wanagoma
 
Kumbe wanaogoma ni wachuuzi maana hata kina Mengi, Manji, Barharesa, Mimi ni wafanyabishara lakini hatuko kwenye mgomo. Manaposema wafanyabishara wote wamegoma mnakuwa hamjatenda haki kwa wengineo ambao hatuna tatizo na mashine za TRA kwa sababu hatuna cha kuficha.

Tukana uwezavyo lakini kodi ni lazima kwa maendeleo na ustawi wa taifa letu la Tanzania. Ni suala la wakati tuu lazima sheria za Nchi zifuatwe. Umoja wenu ungekuwa na maana kama mngepenyeza ushawishi wakati ule sheria ya EFD Machine inatungwa lakini siyo sasa

Barhares na mengi ni wafanya biashara wakubwa lkn ss ndio wauza bidhaa zao
 
JK kama ulivyotatua Vifodi vya kwenda Kenya na KQ ingilia kati hasa kariakoo ni east,central na southern Africa wameathirika na uchumi unaathirika vilevile!!!
 
Wanaoafiki waseme ndiyoooo. Huu upigaji Wa kura ni wakipumbavu sana, sheria za hovyo zote zinapita kwa upumbavu wa ccm

Tee Bag;
Huogopi chama TWAWALA? Angalia, hata ukitumia a.k.a wanakufwata ulipo. Mhhh naogopa kucha zangu
 
Anzeni ushawishi "lobbying" ili ifanyiwe marekebisho. Lakini lendila biashara ya kuuza kuku zilizookwa pale Nairobi na Mtu mwenye duka Kariako nani mfanya biashara mkubwa? kwa nini yule muuza kuku na kababu pale Nairobi atumia machine ya kodi ya kutolea risiti ninyi wenye maduka ya Jumla kariakoo msitumie machine za TRA?

Ndachuwa;
Sipendi sana kutetea serekali lakini pia sipendi kuwatetea hao wahusika. Mtoa kodi anaposhinwa kujua ilikokwenda, mtoa kodi anapoona huyo mwizi akilindwa ati ni mwekezaji huku akibadili majina ya kampuni kila siku zinapokaribia kwisha msamaha wa kodi, inaumiza kichwa na roho pia.
TRA tafuteni haki katika kulipa kodi. Bunge lililopitisha mswada huo, naona lina walakini, wengi walitumia masa.buri kufikiria
 
Mkuu sio wote wameitikia woto ila 80% wamefunga fremu za duka

Hivi 80% ni ndogo? tusifanye masihala! Hapa serikali lazima ikae na kuangalia upya juu ya mfumo unaogomewa
 
Kesho kufungua maduka .Waziri mkuu amebeba kodi asilimia mia na la mwenyekiti wetu pamoja atashughulikia kwa wakati.
 
Huwezi kuelewa jambo hili linawaumizaje hao wanaodai haki yao hadi uwe mfanyabiashara na unayelipa kodi.
Ndio utawaelewa hao watu, kinyume na hapo utakuwa unaongea tu kufurahisha nafsi.
 
Back
Top Bottom