Wafanyabiashara soko la Mbezi Beda wadai DC Kheri James anamhujumu RC Makalla kwa kuwarejesha baadhi yao kusikoruhusiwa

Ni kweli kule soko kwa Beda wateja hawaendi kwa kuwa biashara maeneo yasiyoruhusiwa inaendelea kwa maagizo ya DC James. Sasa tatizo la uchafu,msongamano limerudi upya Mbezi ni kams hakuna kilichofanyika na mbaya zaidi wametoka kujenga meza sasa wameanza mabanda. Makala afuatilie suala hili haraka.
 
Leo ITV wameripoti pia wafanyabiashara kuacha kutumia vizimba walivyopangiwa kituo cha Simu 2000 na kurudi kupanga bidhaa barabarani!

Kusema kweli Amos Makalla na Wakuu wale was a Wilaya wameshindwa kusimamia maagizo na maelekezo wanayopewa na kuyatoa. It’s high time waondolewe sasa na wawekwe Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanaoweza kusimamia maagizo haya.

Niko tayari kujitolea kwenye hili. Sipendi nafasi za uteuzi ila naweza kuvolunteer kwa miezi 5 tu niwaoneshe hawa watu kwa jinsi gani hili jambo linaweza kusimamiwa
 
Mkuu wa Wilaya Heri Jemsi amepooza sana kinyume na matarajio ya wengi.
wengi walidhani atakuwa mkuu wa wilaya machachari kutokana na uzoefu wake, lkn wapi wilaya imepoaaza kama ilivyo kuwa kipindi cha mze Makori.
tunamuomba ndugu Jemsi achangamke kama Gondwe au zaidi.
 
Alizoea propaganda za hila huku malupulupu yanaingia.
7baya amewafanya chawa wengi kuwa wajinga.Naye anajua ailitamka kuwa mzoefu wa kudunda Sindano za sumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom