Mhuuu.. hawa wenye fedha wanapokezana kutunyanyasa !!!?
Muda fulani tunao umia zaid ni sisi sasa nashangaa kwann twachekeleaHuu mwaka kwa ccm ni full Mchele Mchele hawaelewi wafanye nini tuongeze maombi tu maana naona ni mpango wa Mungu tu kuanguka kwao
Hawa jamaa hawana tena uchungu na nchi, kuomba poo wewe na mm tuko vibaya nduguCcm lazima waombe poo
Imebaki walimu na wafanyakazi wa umma aisee