Wafanyabiashara kutofungua maduka kesho Mei 7, 2015

Wafanyabiashara kutofungua maduka kesho Mei 7, 2015

Kesho wafanyabiashara hawatafungua maduka/biashara zao kumuunga mkono m/kiti wao bwana Minja ambapo kesi yake itaendelea Mahakamani kesho.

Wasifungue tu tuone lakin mim mwisho wa mwezi nataka kodi yangu
 
Back
Top Bottom