mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
Imebaki walimu na wafanyakazi wa umma aisee
walimu wakigoma nahama nchi, wamgomee shemeji yao tena!
Imebaki walimu na wafanyakazi wa umma aisee
mhuuu.. Hawa wenye fedha wanapokezana kutunyanyasa !!!?
Nabado mitandao ya cm nayo inapaswa kugoma walau siku 2 tuone kama kuna atakae chekelea
Hii serikali ya ajabu sana. Nakumbuka AG alishauriwa bungeni kuwa mashtaka yale ya huyo mwenyekiti hayana mashiko na kwa vile kuna kamati ya maridhiano kesi ifutwe tusonge mbele kujenga nchi. Lakini majibu aliyotoa ni ya hovyo utadhani yeye ni raia wa Msumbiji na haya hayamuhusu.
Kwa kweli mateso ya nchi hii sio kuwa yanatokana na ccm bali yanatengenezwa na ccm
Huo ni mkakati mpango wa CHADEMA!! Nahisi hata hii mvua, Dr Slaa kasababisha inyeshe ili barabara zisipitike, taa za barabarani zisifanye kazi, na watu tuchelewe kufika majumbani na kesho tusije kazini. Ni CHADEMA hawa.
Kwani wanaoathirika ni ccm pekee au hata mama yako?Ccm lazima waombe poo
Ijapokuwa haitafika 3000, ila Watanzania ni wavivu sana. Kuwe na sheria kalimkudhibiti migomoDollar lazima ifike 3000 kwa mwendo huu
Kweli kabisa. Migomo iiyo na tija haina maanatumechoka,sasa
Kabisa hata mimi naona Chadema watu wabaya sana eti!?
barabara zisipitike, taa za barabarani zisifanye kazi, na watu tuchelewe kufika majumbani na kesho tusije kazini.
Kwa kweli wagome tu. Cha lazima kununua ni dawa tu.Hata km wasipofungua siku 3 sina pesa za kwenda kununua madukani, hadi mwisho wa mwezi