Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
sipo 100% mark my words
Bas hongera mtoto mzuri
sipo 100% mark my words
Bas hongera mtoto mzuri
ahsante nataka zawadi
Kwa kupenda zawadi....ntamwambia kaka yako akupe
hivi na wewe una amini kweli alishinda,hongera kwa kushinda hilo jaribu! Ndiyo tabia zao hizo! Tusipokuwa makini watatumaliza hao!
huyo dada hafai inawezekana hata elimu kuhusu ukimwi hana au ana maisha magumu sana yanayopelekea afanye hivyo ongea nae mwambie anajikaribishia kifo ajirekebishe
Alikataa kufanya ofisini! ?
miss neddy, nipo tayari kwa hot talk....huyo dada hafai inawezekana hata elimu kuhusu ukimwi hana au ana maisha magumu sana yanayopelekea afanye hivyo ongea nae mwambie anajikaribishia kifo ajirekebishe
Dada wa usafi ndie aliekataa kufanyia ofisini, halafu jamaa linajisifu hapa. Kama angekubali kufanyia ofisini, I amsure jamaa nae angeongeza idadi ya list kwenye floor yao
Muongo.......labda useme simu yako haitumii line mbili......kwa hiyo unatumia mtandao mmoja tu.....najipenda siko kwenye mtandao aina yoyote
Muongo.......labda useme simu yako haitumii line mbili......kwa hiyo unatumia mtandao mmoja tu.....
miss neddy, nipo tayari kwa hot talk....
Ofisini kwa kawaida huwa nafika saa kumi na mbili kamili asubuhi, mida hiyo lile kampuni la kufanya usafi ofisini kwetu wafanyakazi wake wanafika hapa saa kumi au kumi na moja kasoro asubuhi, nawakuta wameshamaliza usafi sasa wanaelekea vyooni kusafisha.
Kuna msichana mmoja hapa amekuwa akinipiga mzinga wa nauli mara kwa mara anasema hana nauli, ni msichana mzuri sana hata huwezi amini kwanini anafanya kazi za usafi maofisini.
Siku moja al manusura shetani anishinde, lakini nilishinda nusu, nilimjaribisha kuomba mzigo, hakusita kukataa nikajuta kwanini nimemwomba halafu amekubali moja kwa moja ila hataki kufanyia ofisini anataka nje ya ofisi,
Nijajiuliza kwanini amekubali haraka hivi? halafu, kwanini nitembee na mfanya usafi ofisini anayeishi uswahilini huko? nikamwacha kama alivyo na nikaona huyu malaya tu kumbe na huo ulikuwa mtego wangu kwake kumfahamu ombaomba ya nauli yake.
Miezi mitano imeshapita sasa, anafanya usafi floor nzima wako na wanaume wawili vijana wenzie lakini yeye mcheshi kweli. Kuja kugundua, kumbe zile nauli alikuwa anatuomba wanaume wa vyumba vyote kwenye floor yetu kila mtu akimpiga kibuti cha nauli anakusanya kama konda wa daladala.
Kufanya utafiti, ametembea na wanaume wa floor nzima kasoro mimi, hapo ndipo nilichoka. Nikajiuliza kumbe hawa wasichana wa usafi ni wabaya hivi, si wanaweza kuambukiza UKIMWI ofisi au hata gorofa zima?
Hhalafu ni wazurii hadi unajiuliza inakuwaje msichana mzuri kama huyu anafanya kazi za usafi? kuweni makini wandugu.
hujui tumeanzia wapi stay away........... sipendi watu wanaopenda kuweka maneno midomoni kwa watu mi muongo haya unanifahamu? unataka niseme kitu kinachokufurahisha wewe ndo uwe ukweli
ndio namuuliza, kama kweli ana akili itakuwaje atoe mawazo wafanye ofisini