wafanya biashara wote k.koo asubuhi ya leo wamegoma kufungua maduka yao kwa madai ya bei juu ya mashine za EFD
source mimi mwenyewe nipo eneo la tukio
Tatizo hapa c kutotaka kulipa kodi, tatizo ni bei ya hizo mashine na inakuwaje muuzaji awe ni yule tu aliyeamuliwa na tra? Na kuwa kila mwenye mauzo ghafi yanayofikia tsh.45,000 kwa cku lazima awe na mashine hata mwenye genge, mama lishe , muuza mkaa anatakiwa awe nayo, na kuna wengine kama ni bar sehemu ya bia iwe na mashine yake,jikoni hivyo hivyo! Na tatizo kubwa kuliko yote ni kutoona manufaa ya hizo kodi wanazolipa zinakwenda wapi? Kila cku mala bilioni 50 zimeliwa, akienda hospital hata panadol hamna!Hivi kwanini watanzania hatupendi kulipa kodi? Sijui tunafikiri maendeleo yatashuka kutoka mbinguni?