OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,912
[emoji23] [emoji23]hahahaha kuna mbu huko au buibui??hahahahhaha
na nyie fanyeni mpango mumtoe hapo naye aje kusoma namba huku uswazi ,dawa ya moto ni moto tu.Kuna Dada mmoja pia hapa kazini nahisi na yeye ana tabia hizo :
1. Yeye kila kukicha huwachongea wenzake kwa Boss ili waonekane wabaya, si kitu, sio chochote.
2. Cha kushangaza zaidi Boss huyabeba yale maneno kama yalivyo na kuwafukuza kazi baadhi yetu.
3. Mtu akifukuzwa kazi huyu Dada anafurahia sana tena sana sana na roho yake inaridhika kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu sitoi siri ila kumbuka hamna siriSio vizuri kutoa siri za watu mkuu!!
Sorry lakini..
Komaa na criminology!
Mule mule[emoji12]Mkuu hata wachawi inawezekana nao wakawa ni social pathy,
Kutokana na maelezo yako ni dhahiri kabisa kuwa wachawi ni social pathy.
Ndio mkuu wana siku maalumu kwa wale wanaojuana au members hata wewe kama ni miongoni mwao unaweza join ila watakuspy kwanzaMkuu umesema kuwa. hawa watu wana siku maalumu ya kuua dunia! swali ni kwamba hio siku wanaua kwa mara moja? au kila mmoja anasiku yake ya kuua( kutoa sadaka) ?
Je sociapath anaweza kutengenezwa?kwa matendo yao hao jamaa haswa wale mossad na Kidon wale ni sociapath kabisa yani unamtuma kuua wala haulizi kwanini anaenda kuua yani ni kuua tu
Njoo PMMkuu nipe dili la data management napenda sana mambo ya Tafiti
Majibu ni haya kumtengeneza inawezekana ndio maana kuna hao watu maalumu kwa kazi hiyo wanapikwa kwanza hata jeshini ndio hao unasikià makomando. Survival huyu nae kama anafanya kwa ubora mambo yake nae anaingia kundi hilo kama zile hisia nilizotaja hapo juu hana hata moja au alipikwa na hizo hisia zikapotea kabisaJe sociapath anaweza kutengenezwa?
Mfn wanajeshi hawana hasira ila anaeza kakufanyia chochote atakacho bila kufikiria mara2 na asijutie je huyu tunamuweka kundi gani?
je mtu akiwa anafanya for the survival huyu mae ni sociapath?
Shukran ndugu yangu binadamu wana mambo huwa kuna waqt natamani iwe ndoto but ndio ukweli still kuna vitu huwa anahitaji nimsaidie kifikra bado nafanya kwa moyo safi kabisa ila kuna vitu nimekaa pembeni nae.Pole sana
Kuna njia za kumsaidia atoke kwenye hiyo hali ila inachukua muda sana nadhani nikikamilisha utafiti nitakuja na dawaShukran ndugu yangu binadamu wana mambo huwa kuna waqt natamani iwe ndoto but ndio ukweli still kuna vitu huwa anahitaji nimsaidie kifikra bado nafanya kwa moyo safi kabisa ila kuna vitu nimekaa pembeni nae.
Kwa huyu jamaa ni kazi kweli kwanza kinadharia unamuona mwenzio ila ni mtu ambae hapendi weye upate atakupa mia moja waqt halali yako ni elfu moja roho yake ya kwanini kuna kipindi hata mtu mwingine akikupa weye huku yeye roho yake inauma kwanini umepewa weye sasa hapo pana mtu kweli?Kuna njia za kumsaidia atoke kwenye hiyo hali ila inachukua muda sana nadhani nikikamilisha utafiti nitakuja na dawa
kabisaMa policcm ndani
Hahahahaha Kumbe??CCM wanafit hili kundi aisee
Hii dunia ina mengi sana Mkuu ngoja twende tuKwa huyu jamaa ni kazi kweli kwanza kinadharia unamuona mwenzio ila ni mtu ambae hapendi weye upate atakupa mia moja waqt halali yako ni elfu moja roho yake ya kwanini kuna kipindi hata mtu mwingine akikupa weye huku yeye roho yake inauma kwanini umepewa weye sasa hapo pana mtu kweli?