Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani


Kwa ukorofi huu, ndugu zetu wa Tabora si wangekuwa wameiaha mkuu?
How comes hatujawahi kusikia hari ya hatari kutangazwa huko?(Sibishani, najaribu kufikrisha tu ubongo)
 
Wee unamjuwa Green mamba lakini? Ni hatari sana

Hawa ndiyo wale wanaopenda kuishi kwenye miti?
Kama ni hao basi walinisamehe tu maana kuna siku aliingia ndani nikamuua bila kusababisha madhara kwangu. ila siku nyingine aliingia ndani nikamsaka nikamkosa, nikaamua kuacha mlango wazi na kukaa mbali. baada ya muda nilimuona anatoka nje mwenyewe. Sikuona ukorofi wao. Kuhusu kuwa na sumu kali, mi sijui.
 
Labda kwa kuwa koboko hawapo kwao, so watoa matokeo ya tafiti yasiyomuweka koboko namba moja ikawa promo kwetu.
Haswaa, mi naamini Wizara ya Maliasili na Utalii wangewezaa kumpromot sana huyu nyoka mwenye sifa nyingi sana na zingine zinahusishwa na viumbe wa ajabu(kama majini) na ikawa moja ya source ya kuingiza nchi pesa. Wangeweza hata kujenga Snake Parks nyingi wakawa wanatunzwa maana watu binafsi wamiliki wa snake parks hua wanaogopa sana kumuweka huyu kiumbe hasa akiwa mkubwa. Wanasema nyoka wenye hasira kama koboko hawapendi kufugwa na uangalizi wao lazima uwe exra ordinary
 
5. BLACK MAMBA
Ana uwezo wa kushambulia kwa kurusha sumu hadi mara 12 kwa wakati mmmoja ambayo huweza kuuwa binadamu 10 hadi 25 kwa wakati mmoja.
Simu hiyo yaweza kuua pasipo nyoka kuuma?
 

 
Nyoka makengeza, huyu akikuuma chini unavimba juu. Yeye huuma zaidi wakati wa giza. Maranyingi haonekani hadharani, na hupendelea kuuma zaidi watu wa jinsia ya K. Nyoka huyu yupo kila mahari duniani na hupendwa na kila mwanamke kwa style yake ya uumaji. Sumu yake inasemekana akiuma maramoja huweza kudhuru hadi wanawake billioni moja. Na hutoa sumu kati ya mills, 150 hadi 200.hana macho ila ana mdomo tu
 
Eeee nyoka huyu huwa mtulivu sana ila ukimchokoza tu utaona balaa lake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…